Pre GE2025 Kampeni ya Samia Legal Aid yatua mkoani Lindi kutatua changamoto za wananchi za kisheria

Pre GE2025 Kampeni ya Samia Legal Aid yatua mkoani Lindi kutatua changamoto za wananchi za kisheria

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wananchi Mkoani Lindi wametakiwa kujitokeza kupata elimu ya msaada wa kisheria kupitia kampeni ya mama Samia Legal AID inayolenga kutatua changamoto za kisheria ambazo zinawakumba wananchi.

Rai hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Lindi Zainab Telack,ambaye amewakilishwa na Mkuu wa Mkoa wa Pwani Abubakari Kunenge wakati anazungumza na waandishi wa habari kuhusu kuanza kwa kampeni hiyo ya Msaada wa kisheria kwa siku 9 kuanzia februari 19,2025 katika halmashauri zote za mkuo wa Lindi.

Katika kampeni hiyo ambayo imeanzishwa kwa Nchi nzima Mkoa wa Lindi ukiwa umepata fursa hiyo itazinduliwa na Waziri Mkuu kasimu Majaliwa katika Wilaya Ruangwa na kuendelea kuzunguka wilaya zote huku huduma zote zikiwa ni bure.


 
Kuna wanaume walijenga hadi ukweni lakini mwishowe wakakosa mke😂
 
Back
Top Bottom