PreGE2025 Kampeni ya upinzani inayoendelea mtandaoni itakufa kifo cha kawaida ndani ya muda mfupi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
21,387
Reaction score
44,030
Wananchi wazalendo na wanaCCM wenzangu msiwe na hofu kuhusu hii kampeni ya kijinga iliyoanzishwa na mwanamke katili asiye na utu kwa jina la Mange. Ni kampeni ya kijinga sana kuwahi kutokea. Mbaya zaidi imeanzishwa na mtu asiye na utu.... Mange ashaharibu maisha ya watu wengi sana hivyo kwa sasa ana majuto mengi hali inayomfanya azidi kuwa katili. Ni mtu mwendawazimu tu anaweza kuongozwa na Mange.

Sababu ni nyingi sana kwanini nasema kampeni yao itakufa kifo cha kawaida. Kwa mfano leo kuna taarifa ya ajali iliyoondoa uhai wa watu 28 huko Mbeya. Ukisoma comments chini ya hiyo habari utakuta nyumbu wanatukanana na kuwapinga wenzao wasio na utu na ku-comment no reform no election kwenye habari ya simanzi. Kimsingi watavurugana wenyewe na kuua kampeni yao ya kijinga. Hata hapa JF tayari wameshaanza kupingana wenyewe kwa wenyewe.
 
Kwani nani kakwambia lengo la hiyo Kampeni lilikuwa iwe ya kudumu. Walioianzisha lengo lao likuwa kufikisha ujumbe na lengo lao limefanikiwa Kwa 100%.

Nyie endeleeni na ya kwenu ya kiboya ya kutiki!

NO REFORMS NO ELECTION!
 
No reform no election
 
Labda zifanyike reforms na kila masikini nchi hii aamke asubuhi ajikute ana bima ya afya, makazi safi na salama, kazi ya kujiingizia kipato na milioni 100 kwenye akaunti yake ya benki
 
Ina miezi mingapi ndo kumekucha sasa
 
na mazishi yatafanyika humu humu mtandaoni bila matanga
 
Kwa mtu aliye timamu kichwani, kwa kauli hii kweli kuna umuhimu wa kupanga foleni na kupigwa na jua/mvua kupiga kura!!?
 

Attachments

  • 2590750-a2e0937d7a09a0ac741615b88ed59a4.mp4
    2.1 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…