Brelim Skoro_
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 15,188
- 37,742
Wajinga Hawa wamezoea kuiba na kulazimisha watu wakae kimya.Labda zifanyike reforms na kila masikini nchi hii aamke asubuhi ajikute ana bima ya afya, makazi safi na salama, kazi ya kujiingizia kipato na milioni 100 kwenye akaunti yake ya benki