Kampeni ya vijana kukataa ndoa ni matokeo ya kumtenga mtoto wa kiume katika malezi

Kataa ndoa,usisikilize kelele za waomba unyumba maumivu yake hayasimuliki.

KUBALI NDOA; Nyie ni maSIMPS, wanaume zaifu ambao kazi yenu kubwa ni kuoa hawa malaya wastaafu.Ukweli mchungu ni kuwa KATAA NDOA wanawajua hao wanawake zenu nje ndani kitu ambacho kinawafanya waone mmepotea maana mda wowote KATAA NDOA wanapasha viporo.

KUBALI NDOA tunajua wasiwasi wenu ni katika kuogopa kuchapiwa.Niwatoe hofu na kuwaahidi kuwa kuchawa mtachapi na wachapaji ndo KATAA NDOA mpende msipende.
 
yameshakuwa magumu mkuu
 
Umesema vema mkuu...ombwe la maleficent na huduma zingine za kijamii kwa watoto wa kiume linajitokeza kwa nguvu.
Hata kwenye shule za sekondari...ni rahisi kuorodhesha shule 10 bora za wasichana lakini ukapata kigugumizi kuorodhesha shule 5 bora za watoto wa kiume.
Mfumo unaandaa watoto wa kike watakaojitegemea (which is ok) na hakuna jitihada za kuandaa husband materials watakaowaoa!
 
mzazi unamwandaa mtoto vizuri ,mitandao ya kijamii na makundi yanaenda kumvuruga kabisaaa jumla jumla
 
jibuni hoja kwanza ninyi kam wazazi mnaotaka tuoe maana unakuta mtu anataka kuoa baada y kumpeleka msichana wa watu nyumbn wazazi wanamkataa so hapo unategemea nini
Inategemea, wakati mwingine wanafamilia wanaona kwamba wewe mtoto wao unapotea mathalani unapeleka kahaba wao kama familia wanaona na wasingependa mtoto wao mpendwa upotee.
 
Inategemea, wakati mwingine wanafamilia wanaona kwamba wewe mtoto wao unapotea mathalani unapeleka kahaba wao kama familia wanaona na wasingependa mtoto wao mpendwa upotee.
sasa hapo naona unanirudisha nyuma kwa wale wazazi wanaowachagulia wenza watoto wao kitu ambacho sicho sahihi
 
Ndoa hazifungwi JF tu, mtaani michango haiishi na wengine wanaishi nyumba moja kama mbuzi mpaka wanatimiza ile miaka sijui ni mi5 ya kutambulika kuwa ni mtu na mwenza katka jamii, hii nayo ni ndoa ila ya kizinzi.

Labda useme kuvunjika kwa ndoa kunatokana na beijing iliyompa kibr mwanamke. Maana kibinti kikishapokea kalaki saba kwa mwezi na kadigrii kake kanasahau jukumu la mwanamke kwa mume kenyewe ndo kanakuwa kajuaji.
 
Vijana wakisusa, wazee wanakula

 
KATAA NDOA, UKIOA ASIYE BIKRA UNAOA MKE WA MTU AJE AKUTESE NA AKULINGANISHE NA EX WAKE.. KATAA NDOA USITOE AJIRA KWA MWANAMKE KWA MGONGO WA NDOA HUKU ANAKUCHEPUKIA..

NDOA NI HATARI VIJANA KATAENI NDOA , KIJANA USIOE KAMA UNATAKA KUISHI KWA AMANI
 
Kuchapiwa kawaida tu. Ila mnapozeeka mtajua hamjui. Pia hatumpi uongozi wa umma mtu asie na ndoa
 
Kuchapiwa kawaida tu. Ila mnapozeeka mtajua hamjui. Pia hatumpi uongozi wa umma mtu asie na ndoa
A GREAT WEAK MAN(SIMP) HERE COMES😂😂😂😂😂😂

📌📌📌UANAUME WAKO UKO MASHAKANI.NYIE NDIO MNATAKA TUWAIGE.BIG NO!!!
 
We chekacheka hapo ila huo ndio ukweli team kataa ndoa mtabaki kuongozwa na siku sphincter muscles zikilegea hakuna wa kuwapeleka toi ndo mtajua hamjui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…