Kampeni za afya kusaidia wanawake.Wanaume Je?

SHIEKA

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
8,240
Reaction score
4,265
Kila mara naona matangazo yanatolewa kufanya kampeni ya kuchunguza kansa ya shingo ya kizazi na ya matiti kwa wanawake, lakini sijasikia tangazo la kampeni yoyote kusaidia wanaume kuchunguza kansa ya tezidume.

Kiongozi mmoja wa juu sana mstaafu hapa nchini alipatwa na tatizo la tezidume akapelekwa Marekani kwa uchunguzi.Nikawaza: Ahaa, kwa kuwa huyu mkubwa sana kapata hili tatizo linalosumbua wanaume wengi bila shaka ataanzisha taasisi/kitengo cha uhamasishaji ufahamu na matibabu ya kansa ya tezidume.Mheshimiwa huyo akageuka akaanzisha taasisi tofauti kabisa.

Maelfu ya wanaume hapa nchini wanaugua kimyakimya matatizo ya tezi dume na mwishowe kuugua kansa bila wao au jamaa zao kufahamu nini kilimwua mpendwa wao.Wanaishia kusema tu ni uchawi.

Kwa upande wa wanawake, MEWATA inafanya kazi nzuri sana kuwaamsha wanawake kutambua na kuwahi kutibu kansa za matiti na shingo ya kizazi.Sasa hivi niandikapo thread hii ipo kampeni inaandaliwa na MEWATA (Medical Women Asociation of Tanzania mkoani Njombe kuchunguza kansa za kina mama.

Hakuna anayejali kansa za wababa(Prostate Cancer?)

Madaktari wa kiume mko wapi?Au kansa za wababa sio ishu kwenu?
 
Mkuu hili tatizo linawapata wanaume kuanzia 60+ dunia nzima. Genes, life style na umri vinavuchochezi mkubwa katika cancer za aina zote.
Je ni rahisi kufahamu kuwa babu wa baba yako alikufa kwa tatizo hili wakati hakuwahi kwenda hospitali?
 
Mkuu hili tatizo linawapata wanaume kuanzia 60+ dunia nzima. Genes, life style na umri vinavuchochezi mkubwa katika cancer za aina zote.
Je ni rahisi kufahamu kuwa babu wa baba yako alikuwa kwa tatizo hili wakati hakuwahi kwenda hospitali?
Exactly Sky Eclat.Tezi dume hushambulia wanaume wa umri wa miaka 50+. Kusema kweli sio kushambulia ila umri huo ndio tezidume inagundulika kuwa na matatizo.
Thread yangu haina nia ya kuchunguza historia ya ugonjwa huu kwenye familia, ila kusaidia wanaume kugundua tatizo kwenye tezidume zao.Ndio maana nikauliza kwa nini hakuna msaada kwa wanaume kama ilivyo kwa wanawake? Madaktari wa kiume kwa nini wako kimya?
 
Mkuu hata ukienda kwa wataalam kufanyiwa medical check up wanauliza kama kuna mtu kwenye ukoo wenu ana kisukari, ugonjwa wa moyo au cancer. Kama baba yako alishapata ugonjwa huu kuna chances umerithi genes ambazo zina ushawishi wa kupata ugonjwa.

Nia ya kuweka hili ni kupanua mjadala katika kupigana na tezi dume. Wote tunavwaume, kaka, wajomba, na baba zetu ambao tungependa kuwasaidia.
 
Itakua walivyokua kwenye vikao wakawa wanafanya brainstorming

"Wanaume, Wanaume, wanaume, yessssss!!!! Mungu alisema watakula kwa jasho na Ottu Jazz Band walisema mwanaume kaumbiwa mateso. So fcuk them"
 
Is fcuk you wrote a misspelling of https://jamii.app/JFUserGuide? If so, do you mean we should https://jamii.app/JFUserGuide the men who have prostate problems?
 
Kila mara naona matangazo yanatolewa kufanya kampeni ya kuchunguza kansa ya shingo ya kizazi na ya matiti kwa wanawake, lakini sijasikia tangazo la kampeni yoyote kusaidia wanaume kuchunguza kansa ya tezidume.

Kiongozi mmoja wa juu sana mstaafu hapa nchini alipatwa na tatizo la tezidume akapelekwa Marekani kwa uchunguzi.Nikawaza: Ahaa, kwa kuwa huyu mkubwa sana kapata hili tatizo linalosumbua wanaume wengi bila shaka ataanzisha taasisi/kitengo cha uhamasishaji ufahamu na matibabu ya kansa ya tezidume.Mheshimiwa huyo akageuka akaanzisha taasisi tofauti kabisa.

Maelfu ya wanaume hapa nchini wanaugua kimyakimya matatizo ya tezi dume na mwishowe kuugua kansa bila wao au jamaa zao kufahamu nini kilimwua mpendwa wao.Wanaishia kusema tu ni uchawi.

Kwa upande wa wanawake, MEWATA inafanya kazi nzuri sana kuwaamsha wanawake kutambua na kuwahi kutibu kansa za matiti na shingo ya kizazi.Sasa hivi niandikapo thread hii ipo kampeni inaandaliwa na MEWATA (Medical Women Asociation of Tanzania mkoani Njombe kuchunguza kansa za kina mama.

Hakuna anayejali kansa za wababa(Prostate Cancer?)

Madaktari wa kiume mko wapi?Au kansa za wababa sio ishu kwenu?
hawana lolote hao, wanataka kuchungulia bumunda tu,, tena wanasifa sanaa,
 
Mkuu hata ukienda kwa wataalam kufanyiwa medical check up wanauliza kama kuna mtu kwenye ukoo wenu ana kisukari, ugonjwa wa moyo au cancer. Kama baba yako alishapata ugonjwa huu kuna chances umerithi genes ambazo zina ushawishi wa kupata ugonjwa.

Nia ya kuweka hili ni kupanua mjadala katika kupigana na tezi dume. Wote tunavwaume, kaka, wajomba, na baba zetu ambao tungependa kuwasaidia.
Sky Eclat, bado uko nje ya thread yangu.Nauliza tena, kwa nini hakuna bidii kubwa kama ilivyo kwa wanawake kusaidia wanaume kutambua matatizo ya tezidume? Naona unajikita sana kwenye diagnostic methodology.
 
Kwasababu wanaume hawana tabia ya kumuona dr na kufanyiwa check ups mara kwa mara
Wanaume matatizo yao wanayafanya siri.
 
Is fcuk you wrote a misspelling of ****? If so, do you mean we should **** the men who have prostate problems?
Bob ukiandika kama inavyotakiwa zinakuja nyota, pia fcuk haina maana moja tu ya copulation.
 
Huwa wanafadhiliwa ili kuwacguza wanawake wenzio.
Fenisms bhana, yaani boys hawajadiliwi utadhani hawazaliwi vile, jamii inaona poa tu
 
Kweli haloo, na hii imefanya wanawake kuwazidi wanaume katika mambo mbalimbali hasa kipato na hivyo kuvuruga mahusiano. Kuna nyumba zina ugomvi kila siku kwa sababu mama anampita sana baba kwa kipato na fursa nyingi.
 
Back
Top Bottom