Magulumangu JF-Expert Member Joined Jan 7, 2010 Posts 3,051 Reaction score 461 Sep 29, 2010 #81 Wa Ndima said: Unataraji nini wakati huyo ni bosi wao, unataka wakale polisi? Click to expand... ETI Chadema chama cha wahuni? mhhhhhhh hapa sasa makubwa,watu kusuka mtindo wa RIHANA sasa tuwaiteje?Wahuni au Mabwabwa?yangu macho
Wa Ndima said: Unataraji nini wakati huyo ni bosi wao, unataka wakale polisi? Click to expand... ETI Chadema chama cha wahuni? mhhhhhhh hapa sasa makubwa,watu kusuka mtindo wa RIHANA sasa tuwaiteje?Wahuni au Mabwabwa?yangu macho
Mtende JF-Expert Member Joined Sep 27, 2010 Posts 6,385 Reaction score 7,332 Sep 29, 2010 #82 Propaganda,kwa wale wanaosoma politics nadhani mnaelewa that is one among the types of propaganda
Kigogo JF-Expert Member Joined Dec 14, 2007 Posts 20,508 Reaction score 6,183 Sep 29, 2010 #83 Acid said: amekaa chini dakika moja kwa ajili ya picha... watoto wetu wanakaa chini miaka saba na hakuna cha picha wala choo eiishhhh!!! Click to expand... well said!!!
Acid said: amekaa chini dakika moja kwa ajili ya picha... watoto wetu wanakaa chini miaka saba na hakuna cha picha wala choo eiishhhh!!! Click to expand... well said!!!
Kigogo JF-Expert Member Joined Dec 14, 2007 Posts 20,508 Reaction score 6,183 Sep 29, 2010 #84 kweli kazi ipo mwaka huu kampeni za NYASI kwa NYASI hizo..naona zitakuja kampeni za GOTI kwa GOTI
Joseph JF-Expert Member Joined Aug 3, 2007 Posts 3,518 Reaction score 1,089 Sep 29, 2010 #85 Tumuulize wale wazee wanaoenda kumuona pale Ikulu na kukaa zaidi ya masaa nane bila kumuona huwa akikutana nao hukaa nao chini kama alivyofanya hapa?Mimi naona huu ni usanii tu kwa ajili ya kupata kura mwaka huu
Tumuulize wale wazee wanaoenda kumuona pale Ikulu na kukaa zaidi ya masaa nane bila kumuona huwa akikutana nao hukaa nao chini kama alivyofanya hapa?Mimi naona huu ni usanii tu kwa ajili ya kupata kura mwaka huu