Elections 2010 Kampeni za CCM katika picha - toa maoni yako

Elections 2010 Kampeni za CCM katika picha - toa maoni yako

Unataraji nini wakati huyo ni bosi wao, unataka wakale polisi?



ETI Chadema chama cha wahuni? mhhhhhhh hapa sasa makubwa,watu kusuka mtindo wa RIHANA sasa tuwaiteje?Wahuni au Mabwabwa?yangu macho
 
Propaganda,kwa wale wanaosoma politics nadhani mnaelewa that is one among the types of propaganda
 
kweli kazi ipo mwaka huu kampeni za NYASI kwa NYASI hizo..naona zitakuja kampeni za GOTI kwa GOTI
 
Tumuulize wale wazee wanaoenda kumuona pale Ikulu na kukaa zaidi ya masaa nane bila kumuona huwa akikutana nao hukaa nao chini kama alivyofanya hapa?Mimi naona huu ni usanii tu kwa ajili ya kupata kura mwaka huu
 
Back
Top Bottom