Elections 2010 Kampeni za CCM katika picha - toa maoni yako

Elections 2010 Kampeni za CCM katika picha - toa maoni yako

Mwafrika

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2006
Posts
5,490
Reaction score
229
jk-makete.jpg



Kwa wale ambao hii picha haionekani vizuri, someni post ya Wozoza kaiweka vizuri hapo chini:
 
Mtu wa watu,
msikivu wa shida za wanyonge,mpenda maendeleo
(HII NI KWA JINSI NIONAVYO PICHA)
 
Sioni picha wakuu!!!
Jamani mtu mmoja anutmie bac!!
 
amekaa chini dakika moja kwa ajili ya picha... watoto wetu wanakaa chini miaka saba na hakuna cha picha wala choo

eiishhhh!!!
 
...na mshindi wa tuzo YA kuigiza KWA umahiri WA ujinga WA hali YA juu KWA mwaka 2005-2010 ni ....ni ... Jakaya Mrisho Khalfan Kikweteeeeeeee
 
Back
Top Bottom