Uchaguzi 2020 Kampeni za CCM: Picha iliyozua gumzo kwenye mitandao ya kijamii leo

Nimesikia jamaa anachukua tena likizo fupi ya kampeni, itakuwa hali tete kiafya.
Kumbuka huyo mpaka sasa ni Rais wa nchi kubwa na lazima majukumu yake yote ayatekeleze kusudi wewe na mimi na wana chadema wote wawepo kwa amani waendelee kubeza kwa amani.
Kwanza mimi nampongeza kuendelea kufanya kampeni kwa kasi hii wakati majukumu yake ni makubwa kiasi hiki.
Hii siyo 2015,lakini bado ana nguvu zilezile,!
 
Kwani Mtanzania akiolewa na Mtu wa mwenye uraia wa Nchi nyingine anapoteza uraia wake!? 😳😳😳
Watanzania bwana nimeuliza swali na wewe umenijibu kwa kuniuliza swali lingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…