Uchaguzi 2020 Kampeni za Gwajima zatingisha Jimbo la Kawe, aenda kupiga kampeni kwa watoto wa chekechea darasani

Uchaguzi 2020 Kampeni za Gwajima zatingisha Jimbo la Kawe, aenda kupiga kampeni kwa watoto wa chekechea darasani

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Katika hali ya kuonyesha kuchanganyikiwa na joto la kampeni na kupoteza uelekeo, mgombea wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima aliibuka kwenye darasa la watoto wa shule ya awali.
Hebu tazama hiyo video akiwa na Luca Neghesti mgombea udiwani kata ya Msasani.

 
Hawezi ..Halima kasoma UDSM na wengi ndio wanakaa jimbo la Kawe..Gwaji katokea wapi kama sio muhamiaji haramu msikilize vizuri lafudhi yake..
Staki nikupuuze!!
Ila ukizidisha utopolo nitakupuuza mkuu! Unaandika ma nini sasa mkuu!

Je, Umeishia darasa la ngapi mkuu, ingawa si vema Sana kuuliza hivyo!

Ila unanilazimisha niulize Hilo swali, sjapenda Ila wewe ndio chanzo
 
Back
Top Bottom