Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
JAMAA KASIKIA KUWA WATOTO NI TAIFA LA KESHO.....KURA ZAO ATAZIPATA KESHO USIJALI MKUU.....kwa hivyo hao ndio wapiga kura wake au
Namuonea huruma huyo mzungu wa sportpesa
Thubutu ..Kawe ndio jimbo lenye wasomi wengi TZ..porn star haweziNa bado Atashinda!!!
Atashinda, na mwisho wa siku utakuja na ngojera gani sjui??Thubutu ..Kawe ndio jimbo lenye wasomi wengi TZ..porn star hawezi
Hawezi ..Halima kasoma UDSM na wengi ndio wanakaa jimbo la Kawe..Gwaji katokea wapi kama sio muhamiaji haramu msikilize vizuri lafudhi yake..Atashinda, na mwisho wa siku utakuja na ngojera gani sjui??
Alidhani ni waumini wakeKatika hali ya kuonyesha kuchanganyikiwa na joto la kampeni na kupoteza uelekeo, mgombea wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima aliibuka kwenye darasa la watoto wa shule ya awali.
Hebu tazama hiyo video akiwa na Luca Neghesti mgombea udiwani kata ya Msasani.
View attachment 1586399
Ni tapeli fulani mkuuHawezi ..Halima kasoma UDSM na wengi ndio wanakaa jimbo la Kawe..Gwaji katokea wapi kama sio muhamiaji haramu msikilize vizuri lafudhi yake..
Staki nikupuuze!!Hawezi ..Halima kasoma UDSM na wengi ndio wanakaa jimbo la Kawe..Gwaji katokea wapi kama sio muhamiaji haramu msikilize vizuri lafudhi yake..
Hai ndio kamati yake ya ushindi. Mwizi wa nyota za watotoAlidhani ni waumini wake