kibokilimani
Senior Member
- Jul 5, 2020
- 144
- 37
Naona upinzani yote mmeamia kawe mnaacha kupambana na kunadi sera zenu kutwa mnaangaika na Gwajima yani nyie ata muungane vipi kumshinda Gwajima hamuwezi ni kwamba kale kajizi akatakiwi kawe tena tunakwenda na Gwajima.Katika hali ya kuonyesha kuchanganyikiwa na joto la kampeni na kupoteza uelekeo, mgombea wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima aliibuka kwenye darasa la watoto wa shule ya awali.
Hebu tazama hiyo video akiwa na Luca Neghesti mgombea udiwani kata ya Msasani.
View attachment 1586399
Wananchi wa kawe tutampigia kura wewe na wenzako ndio mmepoteza mwelekeo mnatapatapa tu.Ashapoteza uelekeo huyo nani atampigia Kura.
Akili zako ata wewe mwenyewe hazikutoshiHuyu mtu asiruhusiwe kabisa kuwaona hao watoto jamani! atawalaghai
Kwa kutumia misukule yake au?Atashinda, na mwisho wa siku utakuja na ngojera gani sjui??
Kama inasaidia, basi itakoleza ushindi wake!Kwa kutumia misukule yake au?
Ana kitu gani tofauti na washindani wa Halima wa chaguzi zilizopita hadi ukampa ushindi?Kama inasaidia, basi itakoleza ushindi wake!
Naona upinzani yote mmeamia kawe mnaacha kupambana na kunadi sera zenu kutwa mnaangaika na Gwajima yani nyie ata muungane vipi kumshinda Gwajima hamuwezi ni kwamba kale kajizi akatakiwi kawe tena tunakwenda na Gwajima.
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Hatutampigia Kura. Mimi ni mwananchi mpiga Kura Jimbo la uchaguzi la Kawe, kata ya Msasani, kituo changu Cha kumuadhibia Gwajima a.k.a Gwaji Boy ni pale Oyster Bay shule ya msingi.Wananchi wa kawe tutampigia kura wewe na wenzako ndio mmepoteza mwelekeo mnatapatapa tu.
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Ajabu sasa, maana ndiye AtashindaAna kitu gani tofauti na washindani wa Halima wa chaguzi zilizopita hadi ukampa ushindi?
Naona kakufundisha kupiga ramli, hongeraAjabu sasa, maana ndiye Atashinda
Halima Out!!
Umechanganyikiwa, sioni sababu nyingine ya maneno haya majira hii ya kampeniUnaamka asubuhi hujajua kama utakula mchana halafu unaandika upuuzi kuhusu Gwajima ambaye yuko busy na kampeni jimboni halafu utakuja kusema mnaibiwa kura.
Nani asiyejua kuwa Halima amechokwa na wananchi wa Kawe na hawamtaki kabisa. Zamu hii atatusamehe
Atashinda na sjui utaweka wapi sura yako we mdudu mtuhashindwi kuwakatikia mauno nye misukule yake ila siyo ubunge wa kawe
alishindwa kumfufua Halima ChifupaGwajima lazima ashinde yule jamaaa hajawahi shindwa na kitu chochote nyie subiri na muone
28 October ndio mwisho wa Imani yako mkuuNaona kakufundisha kupiga ramli, hongera
Sina imani, CCM ndio wana imani. Mimi ni Halisi28 October ndio mwisho wa Imani yako mkuu
Inabidi aje kwanza kukufufua wewe maana naona u marehemu wa akilialishindwa kumfufua Halima Chifupa
Kumbuka watu wa kawe wameelimika mkuu, na mtaji wa ccm ni watu wa kinyume chake, sasa hizo kura nani atampa huyo tapel?Hawezi ..Halima kasoma UDSM na wengi ndio wanakaa jimbo la Kawe..Gwaji katokea wapi kama sio muhamiaji haramu msikilize vizuri lafudhi yake..
Wanakawe haohao ndo watampa kumbuka pia mtaan kuna watu ambao hawako upande wowote na wamejiandikisha ikubalike tu kuwa Gwajima lazima ashindeKumbuka watu wa kawe wameelimika mkuu, na mtaji wa ccm ni watu wa kinyume chake, sasa hizo kura nani atampa huyo tapel?
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Wewe utakuwa moja ya misukule wake aliyowahi ifufua, mana siyo kwa ujinga huuGwajima lazima ashinde yule jamaaa hajawahi shindwa na kitu chochote nyie subiri na muone