kwani nanhutubia saa ngapi?? kama ni saaa tisa kuna haja ya kuwahi???nipo hapa uwanja wa jumbe manyoni watu wanamsubiria jk anayetarajia kuhutubia hapa muda si mrefu,watu ni wachache sana hawazidi mia moja,labda tusubilie watakavyobebwa na malori kuja kwenye huu mkutano,hapa vijana wanawatukana wenzao kwa kukubali kuvaa fulana za bure na kugeuka mabango ya matangazo,nitawajulisha zaidi
nipo hapa uwanja wa jumbe manyoni watu wanamsubiria jk anayetarajia kuhutubia hapa muda si mrefu,watu ni wachache sana hawazidi mia moja,labda tusubilie watakavyobebwa na malori kuja kwenye huu mkutano,hapa vijana wanawatukana wenzao kwa kukubali kuvaa fulana za bure na kugeuka mabango ya matangazo,nitawajulisha zaidi
Anapaswa kuanza saa 6 na nusu bado hakuna watu,kuna wachache sana walio ktk fulana za kijani na njano,
Vikundi vya ngoma vya wakina mama ndani ya khanga za ccm vinaingia hapa,hadi huruma guyz,kazi ipo
kinachonishangaza mimi ni kwanini unakampenia watu ambao tayari wana tisheti za CCM? ningefarijika zaidi kuona watu kwenye mikutano ya kampeni za CCM wana nguo za upinzani kwani dhana nzima ya kampeni ni kuvuta ambao wako uande wa pili wa shilingi
eniwei, kwa CCM na tanzania kampeni ni sehemu nyingine ya kuwajua akina masanja
Lori la kwanza linaingia hapa likiwa limeshona watu