nipo hapa uwanja wa jumbe manyoni watu wanamsubiria jk anayetarajia kuhutubia hapa muda si mrefu,watu ni wachache sana hawazidi mia moja,labda tusubilie watakavyobebwa na malori kuja kwenye huu mkutano,hapa vijana wanawatukana wenzao kwa kukubali kuvaa fulana za bure na kugeuka mabango ya matangazo,nitawajulisha zaidi