Kampení za Kumrithi Job NDUGAI zinahitimishwa Leo Jimboni Kongwa

mtotofisi

Member
Joined
Aug 24, 2020
Posts
27
Reaction score
47
KONGWA. Leo ndo siku ya mwishó ya kampení za kuwania ubunge jimboni Kwa Hayati Ndugai. Hapa Ni kata yaSongambele ukiwa ni siku ya pili ya kampení zilizoanza Jana kwa kata 11 na siku ya Leo watia nia kuhitimisha kwa kata 11 zilizobaki na kesho Ijumapili ndiyo siku rasmi ya kujua nani atarithi Jimbo Hilo.
Lakini kampení hizo zimefanyika bila kuwepo mtia nia mmoja Isaya Moses Mngulumi ambaye ameshindwa kuhudhuria kampení hizo kutokana na kufiwa na kaka yake Richard Mngulumi, Ikumbukwe kuwa kwenye matokeo ya kura za maoni ya uchaguzi wa tarehe 4 Agosti Mngulumi alikuwa wa pili kwa kupata kura nyingi akitanguliwa na Hayati Ndugai.
 
Attachments

  • IMG_20250816_142212_951.jpg
    IMG_20250816_142212_951.jpg
    942 KB · Views: 32
  • IMG-20250816-WA0036.jpg
    IMG-20250816-WA0036.jpg
    72 KB · Views: 31
KONGWA. Leo ndo siku ya mwishó ya kampení za kuwania ubunge jimboni Kwa Hayati Ndugai. Hapa Ni kata yaSongambele ukiwa ni siku ya pili ya kampení zilizoanza Jana kwa kata 11 na siku ya Leo watia nia kuhitimisha kwa kata 11 zilizobaki na kesho Ijumapili ndiyo siku rasmi ya kujua nani atarithi Jimbo Hilo.
Lakini kampení hizo zimefanyika bila kuwepo mtia nia mmoja Isaya Moses Mngulumi ambaye ameshindwa kuhudhuria kampení hizo kutokana na kufiwa na kaka yake Richard Mngulumi, Ikumbukwe kuwa kwenye matokeo ya kura za maoni ya uchaguzi wa tarehe 4 Agosti Mngulumi alikuwa wa pili kwa kupata kura nyingi akitanguliwa na Hayati Ndugai.
Ukiangalia hayo mazingira waliopo hapo ukifikiria na pesa ambayo mmojawapo hapo atalipwa baada ya kuteuliwa kuwa mbunge unapata maswali mengi yasiyo na majibu
 
Kweli Ndugai alikuwa kiboko miaka 20 ,hata kujenga ofisi za CCM zilimshinda, kwakweli CCM nijanga la taifa, taifa hili kupata maendeleo mpaka CCM watolewe madarakani,hapa namlaumu Nyerere aliyetuachia katiba mbovu baada ya kushindwa.
 
KONGWA. Leo ndo siku ya mwishó ya kampení za kuwania ubunge jimboni Kwa Hayati Ndugai. Hapa Ni kata yaSongambele ukiwa ni siku ya pili ya kampení zilizoanza Jana kwa kata 11 na siku ya Leo watia nia kuhitimisha kwa kata 11 zilizobaki na kesho Ijumapili ndiyo siku rasmi ya kujua nani atarithi Jimbo Hilo.
Lakini kampení hizo zimefanyika bila kuwepo mtia nia mmoja Isaya Moses Mngulumi ambaye ameshindwa kuhudhuria kampení hizo kutokana na kufiwa na kaka yake Richard Mngulumi, Ikumbukwe kuwa kwenye matokeo ya kura za maoni ya uchaguzi wa tarehe 4 Agosti Mngulumi alikuwa wa pili kwa kupata kura nyingi akitanguliwa na Hayati Ndugai.
Siku zote vifo huumbua watu, msione ajabu jamaa ana mijengo na magari lukuki lakini akifariki utasikia atazikwa makaburi ya Manzese, wafiwa wanaona aibu kumpeleka kwao. Tujikumbushe yule mwanaccm maarufu baada ya kufariki ikamlazimu mzee wa busara toka milima ya Korogwe auchukue msiba na kufanyika nyumbani kwake, ona sasa hapo kijinini kwa mbunge supika palivyo! Mlioandamana siku ile hamkukosea, wakubwa wanalindana tu.
 
Ukiangalia hayo mazingira waliopo hapo ukifikiria na pesa ambayo mmojawapo hapo atalipwa baada ya kuteuliwa kuwa mbunge unapata maswali mengi yasiyo na majibu
Mtu anatoka kongwa mpaka dom mjini kwa ajili ya matibabu km 78
Ina maana kongwa nzima hakuna kituo cha afya chenye uwezo wa kumpatia mtu huduma masuala ya changamoto ya upumuaji
(Najuwa kuna wadau watasema ile ilikuwa kazi ya mungu)

Ova
 
Siku zote vifo huumbua watu, msione ajabu jamaa ana mijengo na magari lukuki lakini akifariki utasikia atazikwa makaburi ya Manzese, wafiwa wanaona aibu kumpeleka kwao. Tujikumbushe yule mwanaccm maarufu baada ya kufariki ikamlazimu mzee wa busara toka milima ya Korogwe auchukue msiba na kufanyika nyumbani kwake, ona sasa hapo kijinini kwa mbunge supika palivyo! Mlioandamana siku ile hamkukosea, wakubwa wanalindana tu.
Ila nyumbani kwake kuko poa
Ila waliyomzubguka sasa,ila viongozi wafrika ndivyo walivyo

Ova
 
Mtu anatoka kongwa mpaka dom mjini kwa ajili ya matibabu km 78
Ina maana kongwa nzima hakuna kituo cha afya chenye uwezo wa kumpatia mtu huduma masuala ya changamoto ya upumuaji
(Najuwa kuna wadau watasema ile ilikuwa kazi ya mungu)

Ova
Kwa wasiyoijua Kongwa, Kongwa toka ukoloni ilibahatika kupendwa na wakoloni, walianza kuiendeleza lakini bahati mbaya wakaondoka baada ya Uhuru huku wakiacha mpangilio mzuri ambao ulitelekezwa.
 
Back
Top Bottom