kampeni za lala salama mhambwe wabunge wa CCM waweka kambi

Nigrastratatract nerve

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2019
Posts
1,521
Reaction score
4,381
#MUHAMBWE

KIGOMA

Baadhi ya Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wamewasili Jimboni Muhambwe Mkoani Kigoma kwa ajili ya kufanya kampeni kwa wagombea Chama Cha Mapinduzi katika majimbo yote mawili ya Muhambwe na Buhigwe

Wabunge hao ni Mheshimiwa Asia Alamga pamoja na Ng'wasi Kamani wabunge wanaowakilisha kundi la Vijana , Saasisha Mafuwe Mbunge wa Hai na Timotheo Mzava wa Korogwe vijjini.

Kazi inaendelea

 
Uchaguzi gani usiokua na vyama shindani. Wampeleke Bungeni huyo mwanachama wa CCM kuokoa muda na raia waendele na shughuli za maendeleo, Waache kupotezea raia muda ambao wangejiingizia pato katika familia zao, Wakati wanajua fika huyo wanaetafutia kura hata wasipomchagua watamtangaza kwa nguvu.Tunahitaji Tume ya Uchaguzi iliyo huru sio hii ya kina-Mahera.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…