Kwa ufupi; Samia haoni matatizo ya kitaifa; Usalama na utekaji, Rushwa na wizi wa mali za nchi, Huduma duni za elimu na afya.
Nilipoona kampeni zinaanza na jukwaa kupambwa na watu wapuuzi, nikajua hakuna kitu hapo! Wa-TZ tuendelee kuwa na uongozi wa kipuuzi. Huwezi kuanzisha kampeni ukiwa na watu ambao walishindwa kutuimiza ahadi ktk uongozi wao.
Alikuwepo Kikwete kama kawaida akijifanya ni mtoto wa mjini anayependwa. Uongozi wa nchi ni tofauti na kujua kucheza mdundiko bhana! Kikwete alitoa ahadi zaidi ya 60 za kitaifa, akaishia kuruhusu rushwa na umalaya. Madawa ya kulevya ikawa ni sehemu ya maisha. Kesi za madawa ikawa ni kama mzaha tu! Maiti zikaingizwa na madawa matumboni na hakuna kesi! Leo hii ana ushujaa wa kumtetea mtu jukwaani kweli.
Soma ahadi hizi: Orodha ya ahadi za Kikwete kwa wananchi 2010-2015 | JamiiForums
Je, baada ya Dira ya Taifa, sasa kinachoahidiwa na mgombea wa CCM anakitoa wapi? Ameshindwa hata kueleza mikakati ya kuondoa rushwa nchini, jambo ambalo ndo tatizo kubwa la Afrika. Au kwa kuwa naye kishaingia kwenye rushwa za kujenga viwanda sasa hilo siyo tatizo