Rais anaahidi petty things, eti nikichaguliwa nitazuia hospitali kuzuia maiti watu wakishindwa kulipa.! .
Tuvitu tudogodogo kweli!
By the way, kwa nini sasa usizuie sasa wakati wewe ni rais hata sasa?
Walitengeneza tatizo sasa wanataka kulitatua.Rais anaahidi petty things, eti nikichaguliwa nitazuia hospitali kuzuia maiti watu wakishindwa kulipa.! .
Tuvitu tudogodogo kweli!
By the way, kwa nini sasa usizuie sasa wakati wewe ni rais hata sasa?
Exactly. Eti nitaunda tume ya maridhiano after 100 days. Kwani usifanye sasa?Rais anaahidi petty things, eti nikichaguliwa nitazuia hospitali kuzuia maiti watu wakishindwa kulipa.! .
Tuvitu tudogodogo kweli!
By the way, kwa nini sasa usizuie sasa wakati wewe ni rais hata sasa?
Kahaba ni kahaba tu huu ni msemo mashuhuri wa kiarabuKwa ufupi; Samia haoni matatizo ya kitaifa; Usalama na utekaji, Rushwa na wizi wa mali za nchi, Huduma duni za elimu na afya.
Nilipoona kampeni zinaanza na jukwaa kupambwa na watu wapuuzi, nikajua hakuna kitu hapo! Wa-TZ tuendelee kuwa na uongozi wa kipuuzi. Huwezi kuanzisha kampeni ukiwa na watu ambao walishindwa kutuimiza ahadi ktk uongozi wao.
Alikuwepo Kikwete kama kawaida akijifanya ni mtoto wa mjini anayependwa. Uongozi wa nchi ni tofauti na kujua kucheza mdundiko bhana! Kikwete alitoa ahadi zaidi ya 60 za kitaifa, akaishia kuruhusu rushwa na umalaya. Madawa ya kulevya ikawa ni sehemu ya maisha. Kesi za madawa ikawa ni kama mzaha tu! Maiti zikaingizwa na madawa matumboni na hakuna kesi! Leo hii ana ushujaa wa kumtetea mtu jukwaani kweli.
Soma ahadi hizi: Orodha ya ahadi za Kikwete kwa wananchi 2010-2015 | JamiiForums
Je, baada ya Dira ya Taifa, sasa kinachoahidiwa na mgombea wa CCM anakitoa wapi? Ameshindwa hata kueleza mikakati ya kuondoa rushwa nchini, jambo ambalo ndo tatizo kubwa la Afrika. Au kwa kuwa naye kishaingia kwenye rushwa za kujenga viwanda sasa hilo siyo tatizo
Wanasiasa hatari sana,, badala ya kukwambia kuwa atakukuza kiuchumi ili ulipie huduma yeye anakudanganya atazuia hospitali... Wajinga rahisi sana kuwachezesha akili...Rais anaahidi petty things, eti nikichaguliwa nitazuia hospitali kuzuia maiti watu wakishindwa kulipa.! .
Tuvitu tudogodogo kweli!
By the way, kwa nini sasa usizuie sasa wakati wewe ni rais hata sasa?
Nchi inaelea katika mikono ya wahuniKwa ufupi; Samia haoni matatizo ya kitaifa; Usalama na utekaji, Rushwa na wizi wa mali za nchi, Huduma duni za elimu na afya.
Nilipoona kampeni zinaanza na jukwaa kupambwa na watu wapuuzi, nikajua hakuna kitu hapo! Wa-TZ tuendelee kuwa na uongozi wa kipuuzi. Huwezi kuanzisha kampeni ukiwa na watu ambao walishindwa kutuimiza ahadi ktk uongozi wao.
Alikuwepo Kikwete kama kawaida akijifanya ni mtoto wa mjini anayependwa. Uongozi wa nchi ni tofauti na kujua kucheza mdundiko bhana! Kikwete alitoa ahadi zaidi ya 60 za kitaifa, akaishia kuruhusu rushwa na umalaya. Madawa ya kulevya ikawa ni sehemu ya maisha. Kesi za madawa ikawa ni kama mzaha tu! Maiti zikaingizwa na madawa matumboni na hakuna kesi! Leo hii ana ushujaa wa kumtetea mtu jukwaani kweli.
Soma ahadi hizi: Orodha ya ahadi za Kikwete kwa wananchi 2010-2015 | JamiiForums
Je, baada ya Dira ya Taifa, sasa kinachoahidiwa na mgombea wa CCM anakitoa wapi? Ameshindwa hata kueleza mikakati ya kuondoa rushwa nchini, jambo ambalo ndo tatizo kubwa la Afrika. Au kwa kuwa naye kishaingia kwenye rushwa za kujenga viwanda sasa hilo siyo tatizo
Hamna watu mle kwenye kile chama! Wamemsusia yeye n kikwete wake!Kwa ufupi; Samia haoni matatizo ya kitaifa; Usalama na utekaji, Rushwa na wizi wa mali za nchi, Huduma duni za elimu na afya.
Nilipoona kampeni zinaanza na jukwaa kupambwa na watu wapuuzi, nikajua hakuna kitu hapo! Wa-TZ tuendelee kuwa na uongozi wa kipuuzi. Huwezi kuanzisha kampeni ukiwa na watu ambao walishindwa kutuimiza ahadi ktk uongozi wao.
Alikuwepo Kikwete kama kawaida akijifanya ni mtoto wa mjini anayependwa. Uongozi wa nchi ni tofauti na kujua kucheza mdundiko bhana! Kikwete alitoa ahadi zaidi ya 60 za kitaifa, akaishia kuruhusu rushwa na umalaya. Madawa ya kulevya ikawa ni sehemu ya maisha. Kesi za madawa ikawa ni kama mzaha tu! Maiti zikaingizwa na madawa matumboni na hakuna kesi! Leo hii ana ushujaa wa kumtetea mtu jukwaani kweli.
Soma ahadi hizi: Orodha ya ahadi za Kikwete kwa wananchi 2010-2015 | JamiiForums
Je, baada ya Dira ya Taifa, sasa kinachoahidiwa na mgombea wa CCM anakitoa wapi? Ameshindwa hata kueleza mikakati ya kuondoa rushwa nchini, jambo ambalo ndo tatizo kubwa la Afrika. Au kwa kuwa naye kishaingia kwenye rushwa za kujenga viwanda sasa hilo siyo tatizo
Halafu hiki ni chama kiko madarakani kwa miaka zaidi ya 60! Bado ahadi za mgombea ni kusimulia kazi atakazofanya, badala ya maono ya kulipeleka mbele Taifa.Unasikiliza mpaka mwisho halafu unakosa maana ya kuwakusanya watu na mabasi nchi nzima...