Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Kosa kubwa nililolifanya ni kuzileta habari zake mitandaoni, MnisameheAcha hizo wewe 🐼✔️
Dunia inamtarajia kesho Usiku, unaambiwa hapatatosha!Polepole analeta craymore nyingine lini
Noma sana!Kwa mujibu wa maelezo ya bwana Hamphley polepole (29 Agast, 2025)
Kundi la wanamtandao wakiongozwa na JAKAYA MRISHO KIKWETE... ndiyo walimuua raisi JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI.
Mwisho wa kunukuu
Atatusaidia kusambaratisha umoja wa wanafikiDunia inamtarajia kesho Usiku, unaambiwa hapatatosha!
Mungu sii Achumani wala Njomba Nmchumali.Kwa Mara ya kwanza tangu siasa za mitandaoni zianze, Kitengo cha Propaganda Cha CCM kinaogopa kuleta habari za Mgombea Urais Samia Suluhu Hassan Mitandaoni
Taarifa fupi ya timu yetu ya ufuatiliaji inaeleza kwamba, Sababu Kuu ni Kombora Takatifu Alilolivurumisha Mzalendo Polepole, ambalo linasemekana kusambaratisha Timu yote ya Mtandao ya Chama hicho.
Sababu nyingine iliyokimbiza Timu hiyo Mitandaoni ni Aibu, hii ni kutokana na Ukweli Mtupu wa Mawe ya Polepole
Hatari nyingine inadokeza kwamba baada ya Makombora ya Polepole Kutrend Wananchi wanaohudhuria Mikutano ya Samia Wameanza kuhesabika, huku kukiwa na dalili kwamba huko mbele aweza kujikuta anahutubia Visiki au Wajumbe wa Nyumba kumi Pekee.
Tuendelee Kumuombea.
HUKU MTAANI SHANGWE LIPO PALEPALE HUKO MITANDAONI MKO WACHACHE SANA KULIKO HUKU MTAANI MMMEONA NYOMI LA KAWE NA MWANZA? MNAONA AIBU NA MMEISHIWA POZIKwa Mara ya kwanza tangu siasa za mitandaoni zianze, Kitengo cha Propaganda Cha CCM kinaogopa kuleta habari za Mgombea Urais Samia Suluhu Hassan Mitandaoni
Taarifa fupi ya timu yetu ya ufuatiliaji inaeleza kwamba, Sababu Kuu ni Kombora Takatifu Alilolivurumisha Mzalendo Polepole, ambalo linasemekana kusambaratisha Timu yote ya Mtandao ya Chama hicho.
Sababu nyingine iliyokimbiza Timu hiyo Mitandaoni ni Aibu, hii ni kutokana na Ukweli Mtupu wa Mawe ya Polepole
Hatari nyingine inadokeza kwamba baada ya Makombora ya Polepole Kutrend Wananchi wanaohudhuria Mikutano ya Samia Wameanza kuhesabika, huku kukiwa na dalili kwamba huko mbele aweza kujikuta anahutubia Visiki au Wajumbe wa Nyumba kumi Pekee.
Tuendelee Kumuombea.
Yan kampeni siku 2 tu tayari nchi imepoa hamasa ya kampeni za Uchaguzi Mkuu hakuna kabisa; huyu Kimama ni 🚮🚮🚮🚮Kwa Mara ya kwanza tangu siasa za mitandaoni zianze, Kitengo cha Propaganda Cha CCM kinaogopa kuleta habari za Mgombea Urais Samia Suluhu Hassan Mitandaoni
Taarifa fupi ya timu yetu ya ufuatiliaji inaeleza kwamba, Sababu Kuu ni Kombora Takatifu Alilolivurumisha Mzalendo Polepole, ambalo linasemekana kusambaratisha Timu yote ya Mtandao ya Chama hicho.
Sababu nyingine iliyokimbiza Timu hiyo Mitandaoni ni Aibu, hii ni kutokana na Ukweli Mtupu wa Mawe ya Polepole
Hatari nyingine inadokeza kwamba baada ya Makombora ya Polepole Kutrend Wananchi wanaohudhuria Mikutano ya Samia Wameanza kuhesabika, huku kukiwa na dalili kwamba huko mbele aweza kujikuta anahutubia Visiki au Wajumbe wa Nyumba kumi Pekee.
Tuendelee Kumuombea.
Nyomi wapi ukuHUKU MTAANI SHANGWE LIPO PALEPALE HUKO MITANDAONI MKO WACHACHE SANA KULIKO HUKU MTAANI MMMEONA NYOMI LA KAWE NA MWANZA? MNAONA AIBU NA MMEISHIWA POZI
Hii imeenda Mkuuhuku kukiwa na dalili kwamba huko mbele aweza kujikuta anahutubia Visiki au Wajumbe wa Nyumba kumi Pekee