GE2025 Kampeni za Mgombea Urais wa CCM zapotea Mitandaoni, inadaiwa Chanzo ni Bomu la Polepole

GE2025 Kampeni za Mgombea Urais wa CCM zapotea Mitandaoni, inadaiwa Chanzo ni Bomu la Polepole

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kwa Mara ya kwanza tangu siasa za mitandaoni zianze, Kitengo cha Propaganda Cha CCM kinaogopa kuleta habari za Mgombea Urais Samia Suluhu Hassan Mitandaoni

Taarifa fupi ya timu yetu ya ufuatiliaji inaeleza kwamba, Sababu Kuu ni Kombora Takatifu Alilolivurumisha Mzalendo Polepole, ambalo linasemekana kusambaratisha Timu yote ya Mtandao ya Chama hicho.

Sababu nyingine iliyokimbiza Timu hiyo Mitandaoni ni Aibu, hii ni kutokana na Ukweli Mtupu wa Mawe ya Polepole

Hatari nyingine inadokeza kwamba baada ya Makombora ya Polepole Kutrend Wananchi wanaohudhuria Mikutano ya Samia Wameanza kuhesabika, huku kukiwa na dalili kwamba huko mbele aweza kujikuta anahutubia Visiki au Wajumbe wa Nyumba kumi Pekee.

Tuendelee Kumuombea.
Mitandao gani?
 
Back
Top Bottom