GE2025 Kampeni za Mgombea Urais wa CCM zapotea Mitandaoni, inadaiwa Chanzo ni Bomu la Polepole

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
HUKU MTAANI SHANGWE LIPO PALEPALE HUKO MITANDAONI MKO WACHACHE SANA KULIKO HUKU MTAANI MMMEONA NYOMI LA KAWE NA MWANZA? MNAONA AIBU NA MMEISHIWA POZI
Nyomi gani mmelazimisha machinga kufunga biashara zao kariakoo? Mmesomba watu mpaka Arusha. Jaribuni kuwaacha watu waje mikutanoni kwa hiari yao muone kama watafika hata 500
 
CCM ni kama msafara wa siafu, kama kuna shambulio siafu dume huwa wanauma meno kaa la moto ili malikia apite salama, I mean unaweza kutengenezewa mtu wa kumshambulia ukasahau kumshambulia kiongozi wao mkuu.

Shock absovers ni za ubora wa hali ya juu kiasi kwamba bodi halitadhurika wala injini. Leo mko na rostam, kesho tutawapa wengine wanne
 
Hapa kuna ukweli yani hata majukwaa yao ya ccm wameacha mapicha picha ya kampeni zao.
 
Hizi kampeni za mwaka huu zimepooza mnoo,tatizo ni nini?
 
Wendawazimu mpo wengi sana
Tatizo mlitegemea kipindi hiki cha kampeni mjibiwe ccm ndio wakongwe wasiasa utegemee wangie kwenye mtego wakipuuzi kikubwa hapa tambua mambie majirani yako oktb tunatiki kwa mama ushindi wakishindo
 
NO REFORM NO ELECTION MKUU.
Ushindi upowazi mama kaupiga mwingi wapinzani wamebaki na kero moja tu kutekwa .
Katiba tunapata na tume huru tayari hakuna kingine ni kutiki tu
 
Abdul anatembelea hospital za 30 rufaa nyie mnakenua meno ndiyo maana hatuwexi kuzalisha chochote huyu rostam namtafuta na mapimbi wa CCM.
 
Kila mtu apambanie ugali wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…