GE2025 Kampeni za Mgombea Urais wa CCM zapotea Mitandaoni, inadaiwa Chanzo ni Bomu la Polepole

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wendawazimu mpo wengi sana
Tatizo mlitegemea kipindi hiki cha kampeni mjibiwe ccm ndio wakongwe wasiasa utegemee wangie kwenye mtego wakipuuzi kikubwa hapa tambua mambie majirani yako oktb tunatiki kwa mama ushindi wakishindo
Mnashindana na nani ?
 
Mitandao ya wapi labda CUBA...HAAHA! Kila ninapopita social media ni Kishindo cha Kijani.
 

Attachments

  • IMG-20250830-WA0055.jpg
    126.7 KB · Views: 26
  • IMG-20250830-WA0017.jpg
    148 KB · Views: 25
  • IMG-20250830-WA0018.jpg
    163.5 KB · Views: 27
  • IMG-20250830-WA0029.jpg
    587.7 KB · Views: 27
  • IMG-20250829-WA0035.jpg
    56.1 KB · Views: 28
  • IMG-20250829-WA0028.jpg
    200.2 KB · Views: 26
  • IMG-20250830-WA0032.jpg
    382.1 KB · Views: 28
Bado wapo kina Lukas Mwashambwa na Tlaahtlaah, chiembe, voice variable Nk!,Kwa hoja ya slow slow.
 
Mnashindana na nani ?
Ulitaka tushindane nani?kwani ccm wamechukua form pekeyao? Kama unahisi ni cdm kutokuwepo ndio unahisi nimpiinani kwa ccm basi unajidanya hajawaifikia hata nusu ya ushindi wa ccm kila siku nikipigo tu tena chakishindo
 
Ulitaka tushindane nani?kwani ccm wamechukua form pekeyao? Kama unahisi ni cdm kutokuwepo ndio unahisi nimpiinani kwa ccm basi unajidanya hajawaifikia hata nusu ya ushindi wa ccm kila siku nikipigo tu tena chakishindo
I reserve my comments
 
HUKU MTAANI SHANGWE LIPO PALEPALE HUKO MITANDAONI MKO WACHACHE SANA KULIKO HUKU MTAANI MMMEONA NYOMI LA KAWE NA MWANZA? MNAONA AIBU NA MMEISHIWA POZI
Nyomi za kutengenezwa kwa kujazwa kwenye calories kama mifugo?

Mbaya zaidi kuna wazee wa ccm wanasema, safari hii hakuna kampuni hata ya kuzuga. Kilichopo ni ziara ya M/kiti kwa wanachama wa ccm mchongo. Wanasema kuna uwezekano wa automatically ziara ile bila kukata moto. Kila akiangalia nyomi mchongo sehemu kubwa ya watu nyuso zao zimejaa huzuni.

Mitaani watu walio wengi hawafuatilii wala kujadili kampeni kwani wanadai tayari uchaguzi ulishamalizika kitambo. Kilichopo hivi sasa ni kukamilisha ratiba ya kuwahadaa wananchi kwa maigizo yao.

Mijadala iliyopo mitaani ni makombora ya HP hasa lile la tenda ya sare za wale jamaa wa mabatini na kifo cha Bwana Yule. Hatari tupu.
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…