Kampeni za Mitandaoni Faini Tsh Million 5

Nchi za wenzetu eanapitia kwemye mtandao kupima wananchi wanaitikia vipi haya yanayoendelea na jawabu wanalipata
 
Msigwa achana na No reform No election,
Watanganyika wanahitaji majibu juu ya watekaji, watesaji, wafiraji na wauaji.
 
Mwambieni Msigwa anajisahau sana.
Kama sindano ya no reforms no election inamuuma, akatushitaki kizimkazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…