Uchaguzi 2020 Kampeni za mwaka huu kwa upande wa Chama Tawala zitachosha sana masikio

Wakulima wa korosho hawataki Hata kuisikia ccm

Watumishi wa umma hawana muda nayo imeshawanyoosha

Wafanya biashara hawana usemi wana izoom tuu

Mambo Mengi hawana pakushika
Hilo la watumishi wa umma endelea kujidanganya.
 
Tegemeo la ccm ni vitu vitatu tu sgr,ndege,stiglers goeorge ambavyo viwili haviwezi kamilika kabla ya uchaguzi hivi havimsaidii aliyepo vijijini ambapo wao kuwatajia wanaona ni labda jina la dawa mpya.Ccm hawana majibu juu ya haya
-Milioni 50 kila kijiji,
-Kuwakomoa watumishi kuwanyima haki ya kikatiba nyongeza ya mishahara,vyeo,madaraja,malimbikizo
-Maisha bora wamesomesha watu namba
-Ukosefu wa usalama wasiojulikana,
-Kuwapora wananchi haki ya uchaguzi serikali Mitaa
-Ukosefu Wa ajira kwa kuuwa sector binafsi
-Kuuwa kilimo
Hapa hawana majibu na awatoyapata hata kwa mwanga wa karabai.
 
Usisahu kuja kutupa updates November baada ya uchaguzi.
 

Watakao ichagua tena watakuwa mafala sana
 
Yako maeneo jpm kafanya vizuri, ila yako maeneo kavurunda kuliko hata jk.mfano kwenye kuajiri kavurunda hatari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…