Kampeni za (NASA) Mafuriko ya watu kuelekea Uchanguzi mkuu wa Kenya...

Lkn sisi kwetu hatujachinjana na
kama Wakenya, Mtanzania anaweza kuishi na kununua Shamba popote pale nchini kwetu lkn Mkenya Mkikuyu anafukuzwa na Wakakenjini na Mjaluo hawezi kununua Shamba huko Ukikuyuni!

i hate it when unatoa povu tupu na kueneza uongo kuhusu kenya na makalio yapo dar es salaam. kenya uinaishi pahala popote unapotaka na makabila ni zaidi ya 43, huu ujinga wako wa kupotosha na makabila mawili kwani watu wengineo wanaishi hewani!!!

tanzania mnachinjana kama kawaida lakini chuki dhidi ya kenya kaweka pazia kwa macho yako uoni ya nyumabani huyaoni. kula albino na kuchomana mikuki shingoni hiyo sio kuchinjana!!!

Demokrasia Yakuua watoto wasio na Hatia
 
Ndugu yangu jaribu kupunguza dharau,jamaa alie uliza hakua nania mbaya bali kwa uelewa tu.Kwahiyo haijawa fair kumjibu MTU kwa dhihaka.Samahan kama nimekukwaza.
Haja dharau amesema ukweli
 
Well said Comrade...
 
my frend Ukawa ndio mnyama mgani? NASA means National Super Alliance...huwa wakenya hatufuatilii mambo ya Tz kwa hiyo unashangaza ukimtaja mnyama sijui wa aina gani huyo na kumfananisha na the mighty NASA...😀😀

Hanna haja ya vita kila Mara. Anayekuja katika jukwaa La JF kisha anadai kuwa hajui Ukuwa, basis yeye Ni ignorant. Hakuna cha kujigamba na ignorance.
 
Lkn sisi kwetu hatujachinjana na
kama Wakenya, Mtanzania anaweza kuishi na kununua Shamba popote pale nchini kwetu lkn Mkenya Mkikuyu anafukuzwa na Wakakenjini na Mjaluo hawezi kununua Shamba huko Ukikuyuni!

Hiyo si kweli. Huko kwetu ujaluoni wakikuyu na wakalenjin na makabila mengine wanamilki mali huko, na hakuna anayewasumbua. Ukikuyuni kumejaa kila kabila, watu wanafanya biashara na kumiliki mali maeneo hayo.

Mnajifanya kujua hali ya utangamano baina ya watu ilivyo Kenya, hili suala la ukabila lipo lakini mnalitilia chumvi mno enyi watanzania.

Chuki ya makabila hapa Kenya ni ya kisiasa tu, lakinj ikija hayo mambo mengine, tunahitajiana balaa
 
Hata kama huipendi Kenya huna budi kukiri kuwa demokrasia yao imepiga hatua kubwa kuliko demokrasia ilivyo kwenye nchi majirani na Kenya ikiwemo Tanzania, Uganda, Rwanda, Burundi, Sudan, Somalia, Ethiopia etc.
 
Mleta uzi kama unaita hao kuwa mafuriko, basi hawa hapa chini kwenye kampeni za hao hao NASA wakati walikua wanajiita CORD kwenye kampeni za 2013 utawaita nini, kimbuga au.....

Ndio kawaida ya watu, hujitokeza sana kwenye kampeni na mikutano, lakini kuna wale hubaki kwenye shughuli zao kimya kimya wakisubiri siku ya upigaji kura ambapo hutokea kwa mamilioni na kupiga kura zao na kurudi kwenye shughuli za kawaida.

Ndugu yangu umesahau kilichotokea hapa Tanzania? Hayo mafuriko kuna watu hapa tz hawataki hata kuyasikia!

Naamini hata odinga hataki kuamini kilichoikuta CORD
 
Tofauti kati ya Kenya na Tanzania yangu ni Kuwa Sisi tunaongea wao wanatenda thou wako na kasoro zao but wanapiga hatua kubwa kimaendeleo na Kidemokrasia

UCHAGUZI MWEMA MAJIRANI
 
Tofauti kati ya Kenya na Tanzania yangu ni Kuwa Sisi tunaongea wao wanatenda thou wako na kasoro zao but wanapiga hatua kubwa kimaendeleo na Kidemokrasia

UCHAGUZI MWEMA MAJIRANI

Wamepiga hatua gani za kimaendeleo na kidemokrasia?
 
my frend Ukawa ndio mnyama mgani? NASA means National Super Alliance...huwa wakenya hatufuatilii mambo ya Tz kwa hiyo unashangaza ukimtaja mnyama sijui wa aina gani huyo na kumfananisha na the mighty NASA...😀😀
Typically Kenyan!umesema hufuatilii mambo ya Tanzani,hapo juu umesema "rudi Tz, chama cha CCM yalindwa na madikteta..."yaani mnaumwa sana na Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…