GE2025 Kampeni za Samia na chama chake hakuna sera hata mmoja kuhusu kupambana na utekaji. Je wamebariki haya?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
557
Reaction score
1,039
Tangu zimeanza kampeni za chama tawala CCM sijasikia katika sera zao kuhusu kupambana na kumaliza tatizo kubwa la watu kutekwa na hata kuuwawa.

Ambapo hadi sasa kuna matukio mengi ya utekaji na watu kupotezwa kabisa yameendelea kupamba moto. Hadi sasa aijulikani alipo Polepole, Mdude, Soka n.k Lakini pia alitekwa na kuuwawa kwa Ali Kibao na hadi leo hatujawai kusika wahusika wakikamatwa.

Tukisema mambo haya ya hovyo yamebarikiwa na CCM watakaata? Na walivyowatu wa ajabu wanaendelea na kampeni zao bila shida wakati nchi ikiwa katika hali mbaya.

Siku yao inakuja ya kulia na kusaga meno. Kudadadeki zao!!!
 
Watakuwaje na mpango mkakati wa kupambana na majambazi wao wenyewe?
 
Inashangaza kwenye issue muhimu sana kwa wakati huu zinazoathiri maisha ya watu wengi na kuleta taharuki kwenye jamii kama haki, uwajibikaji, utekaji,utesaji, mauaji, maadili, ufisadi, rushwa, ajari yupo kimya.

Inaonyesha hayo hayamgusi na hivyo sio vipaumbele vyake.
 
Hayo mambo yashakuwa ni sehemu ya maisha yetu watanzania yenye amani.
 
Tangu zimeanza kampeni za chama tawala CCM sijasikia katika sera zao kuhusu kupambana na kumaliza tatizo kubwa la watu kutekwa na hata kuuwawa.

Ambapo hadi sasa kuna matukio mengi ya utekaji na watu kupotezwa kabisa yameendelea kupamba moto. Hadi sasa aijulikani alipo Polepole, Mdude, Soka n.k Lakini pia alitekwa na kuuwawa kwa Ali Kibao na hadi leo hatujawai kusika wahusika wakikamatwa.

Tukisema mambo haya ya hovyo yamebarikiwa na CCM watakaata? Na walivyowatu wa ajabu wanaendelea na kampeni zao bila shida wakati nchi ikiwa katika hali mbaya.

Siku yao inakuja ya kulia na kusaga meno. Kudadadeki zao!!!
Are you asking?
You don’t know?
Jamani kwa nini unapoteza muda kuuliza hili, utekaji ni joint venture ya CCM + TISS kwa nini uulize. Openly
IGP - compromised & corrupted
TISS - compromised & corrupted

Bado kidogo tu JWTZ ikiwa corrupted mtasikia. Instability
 
Hawezi kuongelea kwa sababu hakuna wa kumuwajibisha wala kumpa pressure yoyote ile kuhusiana na matukio hayo.

Yeye anachojua ni kusomba watu kwenye mikutano yake akitumia kodi za wanainchi, hili kuidanganya dunia kuwa kuna watu bado wanamkubali, wakati huo akisubiri kujiapisha tu hili awauwe vizuri watanganyika.
 
Hili Wala sio la kwenda kulitazama....linajulikana kabisa yeye ndo anawatuma hao majambazi
 
Back
Top Bottom