Uchaguzi 2020 Kampeni za Tanzania: Badala ya Mgombea kuulizwa maswali, yeye ndiye anawauliza maswali Wananchi

Uchaguzi 2020 Kampeni za Tanzania: Badala ya Mgombea kuulizwa maswali, yeye ndiye anawauliza maswali Wananchi

Nilitegemea Magufuli aruhusu maswali kwenye mikutano yake, ili tumuulize haya:

1. Kwanini amemteua mpwawe kuwa 'pay master'
2. Mkataba wa ujenzi wa uwanja wa ndege uko wapi?
3. Tenda ya ujenzi wa uwanja wa ndege wa Chato ilitangazwa wapi na lini?
Mikataba ya ununuzi wa ndege imewahi kufikishwa bungeni?

Watanzania wamechoshwa na upigaji unaofanywa na huyu dikteta hivyo wameamua kumwonesha mlango wa kutokea itakapofika 28 Oktoba.
 
Back
Top Bottom