Uchaguzi 2020 Kampeni za uchaguzi 2020

CalvinKimaro

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2017
Posts
245
Reaction score
314
KAMPENI ZA UCHAGUZI 2020
Hapana Shana CCM Watamsimamisha Dr. John Pombe Magufuli na Ukawa Watamsimamisha Low assa au Lissu au Zitto Kabwe. Na hivi ndivyo watakavyoomba ridhaa ya Wananchi kwa kipindi cha 2020-2025

DR. John Pombe Magufuli Wa CCM.
1. Serikali imetoa elimu bure kuanzia darasa la awali hadi kidato cha nne
2. Tumeanzisha miradi mbalimbali mikubwa kama vile Reli ya kisasa, Bomba la Mafuta kutoka Hoima nchini Uganda hadi Tanga, tunajenga Bwawa la kuzalisha Umeme huko Rufiji n.k. Miradi hii itainua uchumi wa nchi na kutoa ajira kwa watu wetu
3. Tumejenga miundombinu ya Barabara za juu na chini, Madaraja ili Watanzania waweze kufanya shughuli zao kirahisi ikiwa ni pamoja na kurahishisha wakulima kusafirisha mazao yao haraka na kwa unafuu zaidi.
4. Tumenunua ndege ili kuongeza idadi ya Watalii na hivyo pato la Taifa litaongezeka
5. Tumepunguza Rushwa kwa kiasi mikubwa na kupambana na ufisadi.
6. Tumewaondoa Watumishi hawa, wanafunzi hewa ambao walikuwa wanaliingizia hasara Taifa kutokana na malipo hewa.
7. Tumerudisha nidhamu makazini, wananchi hivi sasa wanapata huduma maofisni, hospitalini bìla usumbufu.
8. Serikali imekuwa upande wa Wakulima wakati wote hasa wakati wa kuuza mazao yao ili wapate Kufaidi jasho lao .
9. Serikali imebana matumizi kwa kupunguza Safari za nje, Warsha, na Vikao ambazo zilitumia fedha nyingi.
10. Tumeongeza bajeti katika sekta za elimu, afya na kwenye miradi ya Maendeleo

Naombeni ridhaa yenu ili Nikamilishe miradi hii na kutekeleza ilani ya uchaguzi ya 2020-2025. Asanteni sana.

EDWARD LOWASSA/TUNDU LISSU/ZITTO KABWE

1. Tuliwasaidia ACACIA kuishtaki Serikali
2. Tumewezesha Ndege wetu kuzuiliwa Canada.
3. Tumeweza kuwashawishi nchi wahisani kusitisha misaada kwa Tanzania kwa sababu Mashoga wanaonewa.
4. Tumeweza kuwatetea Mashoga na Wasagaji
5. Tulijaribu kuwavuruga wakulima wa Korosho tukashindwa, Awamu hii mkitupa kura tutafanikiwa.

Naombeni ridhaa yenu sisi tutakuwa wanyenyekevu kwa wahisani ili tupate fedha, tutaruhusu Ushoga, tutajenga Wodi za wazazi mashuleni ili watoto wetu wawe wanajifungulia mashuleni kuepuka kukosa masomo. Mikakati yetu ni mingi mtuamini.
 
Hii jitu nimeamka usiku nimekuta limenifollow nikajua ni limtu lenye akili kumbe jinga naombeni msaada niliblock lini unfollow
 
A very funny joke, thanks
 
Hii jitu nimeamka usiku nimekuta limenifollow nikajua ni limtu lenye akili kumbe jinga naombeni msaada niliblock lini unfollow
Tofautesheni siasa na furaha, huyu ndugu kaamua kutumia siasa kutuchekesha na kuwa na mood nzuri, wewe unaichukulia serious.

Hilo halitatokea, Zitto maisha yake hata mizimwi yote ya kigoma na burundi akiyaunganisha chadema hawampi usukuni, Lissu ni tishio kubwa sana kwa jamii kubwa ya chadema, Lowassa is a deflated tyre. Tutegemee Nyalandu huenda ma sponsor wake wa kimarekani wanaweza kumletea mchango wa maana sana , kuna Investment group moja kubwa wanafnya mazungumzo, na mbowe weshaonana na hao jamaa.
 
Hii jitu nimeamka usiku nimekuta limenifollow nikajua ni limtu lenye akili kumbe jinga naombeni msaada niliblock lini unfollow
Jiwewe nawe ehhh
Hebu tuliza boli walahi
 
Long may he reign JPM walahi
 

Hahahaha
Mapunguani kweli kweli walahi
Nyalandu uwiii, Hahahaha
Ndumba la kuwili paseeeee walahi
 
Tumedhibiti bei ya vifaa vya ujenzi sasa bati inauzwa bei chee.
Ajira tumetoa wahitimu wameanza kujiajiri.
Tumepunguza mafao ya wastaafu,
Watazania wameanza kuheshim fedha maana haipatikan labda ujiunge na kijani.
Chagua ccccccm ccccccm oooooyeerrrrr
 
Mods futa huu uchafu.
 
Kwani wewe humsikii mwenyekiti wenu anaposema huu si wakati wa siasa? Kama hukubaliani na mimi hebu jaribu kutangaza nia ya kugombania japo kiti cha udiwani hapo ofisini kwenu muda huu!
 
Ahahhahahahhahaha nimecheka wallahi
 
Umesahau mengi mbona?
11. Wap[inzani wetu tumewatwanga risasi na kuwaweka kwenye liroba na kuwatupa baharini. Vile viroba mlivyo viona tulikuwa ni sisi CCM japo kwa akili yenu mbaya mlituita wasiojulikana;
12. Tuliyempinga risasi akapona ilikuwa ni bahati mbaya, zamu ijayo hatutakosea;
 
mavi tupu umeandika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…