Pre GE2025 Kampeni za Uchaguzi 2025 zimeanza?

Pre GE2025 Kampeni za Uchaguzi 2025 zimeanza?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Precious Diamond

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2023
Posts
593
Reaction score
1,376
Wakuu,

Msikilize kiongozi huyu aliye ambiwa amkaribishe Makonda, yaani ni kampeni kabisa zimeanza.


"Wilaya ya Hai sasa imepata maendeleo makubwa, ninachotaka kuwaomba msifanye makosa, kina mama na akina baba twendeni na Dr. Samia Suluhu Hassan.

"Tunakwenda kwenye uchaguzi mwaka kesho, mwaka huu uchaguzi wa vitongoji na vijiji, huko ndiko tutaweka mizizi ya kuanzia.

"Mwaka kesho nipeni kura za mama Samia, masunduku yale yajae mpaka walete masunduku mengine, nipeni Mbunge kijana mahiri, tupeni waheshimiwa Madiwani."

Pia soma :
Nape Nnaye: Rais Samia amefuta ada kuanzia awali mpaka kidato cha 6. Mlioguswa nendeni mtandaoni mkaseme 'Tunasimama na Samia'
 
Umechelewa kujua.

KAMPENI ZIMEANZA KABLA YA MAKONDA KUWA MWENEZI WA CHAMA.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Back
Top Bottom