"```Mimi mwalimu NYANGETA LILIAN NGASA
Nimeshawishika kugombea nafasi ya NAIBU KATIBU MKUU ndani ya CWT ili kuweza:
√ KUHAMASISHA PUNGUZO LA ASILIMIA ZA MAKATO KUTOKA %2 HADI %0.5.
√ KUTOA MAONI KUHUSU ULIPWAJI WA POSHO MBALIMBALI KWA WALIMU. Kama posho ya ufundishaji nk
√ KUHAMASISHA VIONGOZI WENZANGU KUPUNGUZA MATUMIZI YASIYO YA LAZIMA KWA KUTUMIA FEDHA ZA VITENGO (Hasa fedha za kitengo KE)
√ KUSHIRIKIANA NA VIONGOZI WENZANGU KUTOA TAARIFA SAHIHI KWA WANACHAMA NA KWA WAKATI SAHIHI.
√ KUSHIRIKIANA NA VIONGOZI WENZANGU KUHAMASISHA SERIKALI KUWASHIRIKISHA WALIMU KUANZIA NGAZI ZA CHINI (mashuleni) KABLA YA KUFANYA MABADILIKO KATIKA SEKTA YA ELIMU. Mfano Mabadiliko au maboresho ya mtaala. Walimu wote wapewe mafunzo sawa bila kusingizia wingi wao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.