Kampeni za uchaguzi Klabu ya Yanga kuanza leo

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Wagombea Uenyekiti ni Dk. Jonas Benedict Tiboroha, Mbaraka Hussein Igangula na Erick Ninga.

Wagombea wa umakamo ni Titus Eliakim Osoro na Salum Magege Chota.

Kwa upande wa nafasi za Ujumbe ni Hamad Ally Islam, Benjamin Jackson Mwakasonda, Sylvestre Haule, Salim Seif, Shafil Amri, Said Kambi, Dominick Francis, Seko Jihadhari, Ally Omar Msigwa, Arafat Ally Hajji, Frank Kalokola, Ramadhani Said, Leonard Marango, Bernard Faustin Mabula, Christopher Kashiririka na Athanas Peter Kazige.

Uchaguzi huo unatarajia kufanyika siku ya jumapili Januari 13 mjini Dar es Salaam ambapo kampeni zitafunguliwa leo kwa wagombea kuanza kutupa sera zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora mkutano ufanyike..zile janja janja za kina Nyika ziishe...na wale Yanga toleo jipya waache kumlilia Manji..
 
Wagombea Uenyekiti ni Dk. Jonas Benedict Tiboroha, Mbaraka Hussein Igangula na Erick Ninga.

Wagombea wa umakamo ni Titus Eliakim Osoro na Salum Magege Chota.

Kwa upande wa nafasi za Ujumbe ni Hamad Ally Islam, Benjamin Jackson Mwakasonda, Sylvestre Haule, Salim Seif, Shafil Amri, Said Kambi, Dominick Francis, Seko Jihadhari, Ally Omar Msigwa, Arafat Ally Hajji, Frank Kalokola, Ramadhani Said, Leonard Marango, Bernard Faustin Mabula, Christopher Kashiririka na Athanas Peter Kazige.

Uchaguzi huo unatarajia kufanyika siku ya jumapili Januari 13 mjini Dar es Salaam ambapo kampeni zitafunguliwa leo kwa wagombea kuanza kutupa sera zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni sawa kuweka mvinyo wa zamani kwenye chupa mpya. Ladha ni ile ile hakuna jipya
 
huyo Haule anatuhuma nyingi sana katafuna mpaka michango ya rambirambi jamaa nasikia ni mchumia tumbo mkaa magetini
 
Kwenye kikao chenu cha uchaguzi msisahau kumpa hongera mnyama kwan kazi nzuri ataayoifanya jmos.
 
Wagombea Uenyekiti ni Dk. Jonas Benedict Tiboroha, Mbaraka Hussein Igangula na Erick Ninga.

Wagombea wa umakamo ni Titus Eliakim Osoro na Salum Magege Chota.

Kwa upande wa nafasi za Ujumbe ni Hamad Ally Islam, Benjamin Jackson Mwakasonda, Sylvestre Haule, Salim Seif, Shafil Amri, Said Kambi, Dominick Francis, Seko Jihadhari, Ally Omar Msigwa, Arafat Ally Hajji, Frank Kalokola, Ramadhani Said, Leonard Marango, Bernard Faustin Mabula, Christopher Kashiririka na Athanas Peter Kazige.

Uchaguzi huo unatarajia kufanyika siku ya jumapili Januari 13 mjini Dar es Salaam ambapo kampeni zitafunguliwa leo kwa wagombea kuanza kutupa sera zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha tukapige kura jpili
 
Naona kama Dr. Tiboroha anapigiwa chapuo na wanachama wengi, Hivi ilikuwaje akajiuzulu kipindi cha nyuma
 
Chagua...
IMG-20190110-WA0003.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom