Napendekeza hapa Dar tungepiga show moja tu pale Uwanja wa Mkapa na Uhuru kwa pamoja!Habari ndiyo hiyo
View attachment 1587918
Ambacho umesahau jpm bado ni rais hivyo anamajukumu nje ya kampeni![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Injin imechoka.
Maajabu alopewa ulemavu yeye ni kazi kazi[emoji23][emoji23][emoji23]
Anaenda gereji kwanza. Magufuli hana chake tena in shaa Allah.Habari ndiyo hiyo
View attachment 1587918
Rais anaomba urais maajabu hayaAmbacho umesahau jpm bado ni rais hivyo anamajukumu nje ya kampeni!
Anaenda kujipanga upya baada ya zile strategies za Dodoma kufeliHabari ndiyo hiyo
View attachment 1587918
Kwenye show yenu wasanii wangapi watakuwepo? Mtaacha watoto waende shule au shule zitafungwa siku hiyo?Napendekeza hapa Dar tungepiga show moja tu pale Uwanja wa Mkapa na Uhuru kwa pamoja!
sio rais anaomba urais bali rais anaeomba kuongezewa muda wa urais.Rais anaomba urais maajabu haya
Mtajifariji sana mzee hana uwezo wa kampeniAmbacho umesahau jpm bado ni rais hivyo anamajukumu nje ya kampeni!
Hana majukumu yoyote zaidi ya kusaini malipo. Hata mikutano ya kimataifa hashiriki sasa majukumu gani?Ambacho umesahau jpm bado ni rais hivyo anamajukumu nje ya kampeni!
Mgonjwa huyo
Ufujaji wa pesa za walipa Kodi.kuandaa mkutano wa ccm ni gharama kubwa, pia inataji kukusanya watu kwa ushawishi wa pesa ,ivyo inaitaji muda mrefu kuandaa