Za kwetu hutumia kiasi gani? Wazungu wako wazi and transparent sio sie tunao tumia pesa ya bima na tenda na hatuseme kiasi gani kimetumika.Kampeni za urais nchini marekani zimetumia kiasi Cha Dollar Bilioni 15.9 ambazo ni sawa na shilingi Trillioni 39.7 za kitanzania. Kwa maana nyingine ni kwamba pesa zilizotumika kwenye kampeni za urais ni nyingi kiasi Cha kukaribia Bajeti ya mwaka ya Tanzania. Kwakweli Marekani ipo mbali Sana kiuchumi, Kama kiasi hicho ndicho linatumika na wagombea wa urais pekee. Bado counties, representatives, senetors na Governors.
Source: Econonist
Ila unajua hao watu wanao fadhili hizo kampaini na ma billion ya pesa wana lipwaje badaye?......kwasbb hizo kampaini husimamiwa na kampuni ma watu binafsi kwa kitoa pesa zao.Kampeni za urais nchini marekani zimetumia kiasi Cha Dollar Bilioni 15.9 ambazo ni sawa na shilingi Trillioni 39.7 za kitanzania. Kwa maana nyingine ni kwamba pesa zilizotumika kwenye kampeni za urais ni nyingi kiasi Cha kukaribia Bajeti ya mwaka ya Tanzania. Kwakweli Marekani ipo mbali Sana kiuchumi, Kama kiasi hicho ndicho linatumika na wagombea wa urais pekee. Bado counties, representatives, senetors na Governors.
Source: Econonist
Wee acha Vichekesho aisee! Kwani huyo FaizaFoxy ni nani hapa JF - mbona sie hatumfahamu hata?FaizaFoxy atabisha, atasema Iran ndiyo ina bajeti kubwa kwenye ununuzi wa kobazi.
😬😬😬 Hii ni kweli???Sasa kama tulishaambiwa umeme wanaotumia marekani siku moja, ni sawa na umeme tunaotumia sisi miaka saba ndio unashangaa hilo mkuu, huwa nawashangaa sana watu wanaosubiri anguko la marekani wanafikiri ipo siku itakuja kuwa kama malawi
😬😬😬 Hii ni kweli???
😀😀😀 Unaweza ukaona ni ndotoView attachment 3146868
View attachment 3146870
4.07T kWh/ (7.93 + 9.02)B kWh = 240 years!!!
Au naota?
Kule hakuna janja janja kama huku CCMIla unajua hao watu wanao fadhili hizo kampaini na ma billion ya pesa wana lipwaje badaye?......kwasbb hizo kampaini husimamiwa na kampuni ma watu binafsi kwa kitoa pesa zao.
Wanasapoti mgombea anayewakilisha maslahi yao kwa hiyo watanufaika kwa sera zake zitakazopitishwa akiwa madarakani.Ila unajua hao watu wanao fadhili hizo kampaini na ma billion ya pesa wana lipwaje badaye?......kwasbb hizo kampaini husimamiwa na kampuni ma watu binafsi kwa kitoa pesa zao.
Sasa kama tulishaambiwa umeme wanaotumia marekani siku moja, ni sawa na umeme tunaotumia sisi miaka saba ndio unashangaa hilo mkuu, huwa nawashangaa sana watu wanaosubiri anguko la marekani wanafikiri ipo siku itakuja kuwa kama malawi
Ufadhili uko wazi na Kamala alipewa mchango mkubwa zaidi. Na kuna kampuni zilichangia wote, na kila mgombea anaweza omba kuchangiwa kwa yeyote ila sharti hela unayopewa useme ni kiasi gani na imetoka kwa nani.Ila unajua hao watu wanao fadhili hizo kampaini na ma billion ya pesa wana lipwaje badaye?......kwasbb hizo kampaini husimamiwa na kampuni ma watu binafsi kwa kitoa pesa zao.
Kampeni za urais nchini marekani zimetumia kiasi Cha Dollar Bilioni 15.9 ambazo ni sawa na shilingi Trillioni 39.7 za kitanzania. Kwa maana nyingine ni kwamba pesa zilizotumika kwenye kampeni za urais ni nyingi kiasi Cha kukaribia Bajeti ya mwaka ya Tanzania. Kwakweli Marekani ipo mbali Sana kiuchumi, Kama kiasi hicho ndicho linatumika na wagombea wa urais pekee. Bado counties, representatives, senetors na Governors.
Source: Econonist
Ila unajua hao watu wanao fadhili hizo kampaini na ma billion ya pesa wana lipwaje badaye?......kwasbb hizo kampaini husimamiwa na kampuni ma watu binafsi kwa kitoa pesa zao.
Why malawi?!🤣Sasa kama tulishaambiwa umeme wanaotumia marekani siku moja, ni sawa na umeme tunaotumia sisi miaka saba ndio unashangaa hilo mkuu, huwa nawashangaa sana watu wanaosubiri anguko la marekani wanafikiri ipo siku itakuja kuwa kama malawi