Kampeni za watoto wa kike

gbrother

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
408
Reaction score
51
Jamani girls hv mna kampeni maalum ya kutupa tabu watoto wa wanawake wenzenu?
Kwa nini nw a days hamvai nguo za ndani? Sawa may b c...i kero, basi hata tity,
 
zina magonjwa sana...
ni feki zote sokoni zimetoka china..
ya nini kujifia na maradhi?
by the way kazi ya chupi ni nini?
 
we ulijuaje kuwa hawavai chupi kumbuka kuna bikini siku hizi shauri yako
 
acha kuchungulia chungulia..............utapofuka macho
 
sio wote,na wasio vaa wasababu zao au niseme hawajiamini kama wanawake.
 
zina magonjwa sana...
ni feki zote sokoni zimetoka china..
ya nini kujifia na maradhi?
by the way kazi ya chupi ni nini?

mbona zipo za nchi mbalimbali,
chupi inasaidia kusitili maungo ya siri vizuri.
 
Kiongozi huyo anatatizo la kisaikolojia kila akipishana na msichana lazima amchunguze makalio

hahahahaaaa
hawa watu wametuzunguka na co swala la kisaikolojia, tena kuna mwandishi aliwahoji mastaha wengi walisema hawapendi kuvaa,
macho hayana pazia ndugu
 
Ujue ukija na conclusive mada kama hii uwe na supporting documents basi? Umeona wangapi hawakuvaa kati ya wangapi uliowachunguza, eneo gana umefanyia utafiti? Na je elimu ya sample yako uliipima? Vipi kuhusu sanity ya vichwa vyao na kulinganisha na kiwango cha upotofu wa maadili?
 
Waache kuvaa nguo zinazobana makalio ndio maana unahisi hawavai chupi. alf si unajua chupi za siku hizi ni uzi tuu unapita nyuma na mbele makalio yote nje.
 
wanadai joto na fangasi kutokana na material yanayotengenezea...lakini me cjawahi shuhudia asie vaa
 
Kifupi wasiovaa chupi hasa wanawake ni ushamba wa fasheni unaowasumbua. Chupi ina msaada mkubwa sana na ndiyo maana ikawekwa kama vazi.
 
Kifupi wasiovaa chupi hasa wanawake ni ushamba wa fasheni unaowasumbua. Chupi ina msaada mkubwa sana na ndiyo maana ikawekwa kama vazi.
hatuvai sasa inawahusu nini?
 

"THIS IS JF! YOU'LL NEVER WALK ALONE"
I like this!
 
hatuvai sasa inawahusu nini?

Kuvaa au kutovaa hakutusaidii sisi wanaume zaidi ya kurahisisha kupiga mambo yetu kirahisi lakini ukweli kuvaa chupi kuna maana yake sana!!!!!


Najua wanawake wengi wasiovaa chupi ni wale ambao wanatoka nyumbani na gari kisha anaingia kazini anafanya mizunguko yake na gari HATA BAHARI IKICHAFUKA hana shida sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…