Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiongozi huyo anatatizo la kisaikolojia kila akipishana na msichana lazima amchunguze makaliowe ulijuaje kuwa hawavai chupi kumbuka kuna bikini siku hizi shauri yako
sio wote,na wasio vaa wasababu zao au niseme hawajiamini kama wanawake.
Kiongozi huyo anatatizo la kisaikolojia kila akipishana na msichana lazima amchunguze makalio
hatuvai sasa inawahusu nini?Kifupi wasiovaa chupi hasa wanawake ni ushamba wa fasheni unaowasumbua. Chupi ina msaada mkubwa sana na ndiyo maana ikawekwa kama vazi.
Ujue ukija na conclusive mada kama hii uwe na supporting documents basi? Umeona wangapi hawakuvaa kati ya wangapi uliowachunguza, eneo gana umefanyia utafiti? Na je elimu ya sample yako uliipima? Vipi kuhusu sanity ya vichwa vyao na kulinganisha na kiwango cha upotofu wa maadili?
hatuvai sasa inawahusu nini?
hatuvai sasa inawahusu nini?