Kumetokea ajali Jana cjamsikia Lissu akitoa hata salamu za pole wakati wamepoteza maisha zaidi ya watu 15!
Wewe kujiunga jf nani alikushikia mtutu? Kuanzisha post hii nani kakulazimisha?
Endelea kungoja uongozi wa Lissu utakaokufanya uishi kama upo peponi!
Kuna wakati utajiuliza kwa nn Mwenyezi Mungu hakutuumba watu wote kuwa na upeo wa kung'amua kwa aina moja? Usinipe jibu!
-Haki ya kuishiHaki gani unataka itamkwe?
Tuna kiongozi ambaye mambo ya haki si suala linalomgusa, tuachane naye ni mkatili sana.Ni jambo la kushangaza sana kwangu. Sijasikia popote akilaumu uvunjwaji wa haki za watu yanayofanywa na vikundi vya watu wasiojulikana.
Sijamsikia akikemea unambikiaji watu kesi kwa mashitaka ya uongo
Sijamsikia akikemea manyanyaso kwa waandishi wa habari hata kuonesha sympathy ya wandishi waliopotea wakiwa kazini au kuahidi kurudisha Uhuru halisi wa vyombo vya habari.
Ninachokisikia ni msipo nichagua sileti hiki sileti kile .
Sioni matumaini yoyote ya ustawi na Uhuru wa watu toka kwa mgombea wa CCM
Ni jambo la kushangaza sana kwangu. Sijasikia popote akilaumu uvunjwaji wa haki za watu yanayofanywa na vikundi vya watu wasiojulikana.
Sijamsikia akikemea unambikiaji watu kesi kwa mashitaka ya uongo
Sijamsikia akikemea manyanyaso kwa waandishi wa habari hata kuonesha sympathy ya wandishi waliopotea wakiwa kazini au kuahidi kurudisha Uhuru halisi wa vyombo vya habari.
Ninachokisikia ni msipo nichagua sileti hiki sileti kile .
Sioni matumaini yoyote ya ustawi na Uhuru wa watu toka kwa mgombea wa CCM
Ndo sera yake.. Awatume yeye afu awakemee?!Sijamsikia akikemea unambikiaji watu kesi kwa mashitaka ya uongo