Kampuni 3 Zamtaka Mtoto wa Wema

Huyu nae OK

Lipstick za Mr P Solved kwa jina lake wema kutumika ndani ya wiki moja sijyi baada ya siku mbili zilishuka bei toka 40k hadi 20k na sasa sijui zimefikia bei gani.

Naona GPL bado wanamsaidia kutafuta kiki...
Mr solved majuto yamemjaaaa chezea kutokujua hakuna ntota wafuaai wake wengi mb za kududuliza tu.
 
Hii kiki naona kama imekataa au sijui ndio muda bado maana naona Idris bize na interview lakini nyota aing'ai. Ngojea tuendelee kutazama.
 
Makubwa! Kumbe lipstick sio zake jamani.
 
Habari za jioni[emoji124]
 
Leaves me wondering where is our society heading to, that is a bastard child!! Gets all centre of attention?? What are we teaching our kids... It's okay to get banged outside of marriage get as many bastard kids as you can. Fill this great country with bastard kids!
 
hawa Team viwavi wako kama wameshikiwa akili vile
 
Ah wapi...siwezi kukwaruzana na lightweights.

Haitakuwa fair kabisa. Vijitu vyenyewe vinaniogopa. Teh teh teh.

Ndo maana nasubiri tu hayo matusi nione kama kutakuwa na jipya.

Subiri sasa uone watakavyofura....they are so predictable.


Hahahahah

Mkuu naomba usiondoke tuu maana watakujaa

Nahisi saa hizi wapo insta kuna mtu wanamchamba

Halafu wote kwa umoja wao watahamia kwako mpaka watakapolala saa tisa halafu wakiamka waendelee na wewe

Hayo ndio maisha yao kwa ufupi
 
Alikuwa demu Wako SI bure, hakuna anaemuogopa mtu humu, usitishie watu babue
 
Hii habari ingeletwa na msaga sumu ingependezajee
 
Kwa sasa lipstick ni elfu kumi tu,zitafika mpaka elfu 5 team wema jeshi kubwa ila wanashindwa kumsupport madame wao
 
Kwa sasa lipstick ni elfu kumi tu,zitafika mpaka elfu 5 team wema jeshi kubwa ila wanashindwa kumsupport madame wao
Kweli binadam wabaya auze kei tu maisha yasonge jina haliuz hata rangi za mdomo
 
Akitoa post ya lipstick comments 60 akitoa post ya wanaume comments 2000 kwa haraka haraka waweza jua akili za team wema zilivo, wale labda wauziwe kwa mafungu lipstick 3 tsh, 500..... Kuna kimtu humu hata jina sikikumbuki nilikiambia lipstick ni za Mr problem solved kilishupaza shingo kama Kinataka kukata roho
 
Kwanini hizo kampuni zisimtumie Wema mwenyewe maana hana Endorsement yeyote zaidi ya kuuza Nyapu hapa Town.Mambo ya kutaka kushindana na mtu kwa kumuiga ni UBOLIZOZO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…