Lipstick elf 20 bhanaKwa sasa lipstick ni elfu kumi tu,zitafika mpaka elfu 5 team wema jeshi kubwa ila wanashindwa kumsupport madame wao
"kwani wanaamini mtoto huyo atakuwa kivutio kikubwa."
Upumbavu to the nth degree!
Eti mtoto atakuwa kivutio kikubwa! Sababu?
Atakuwa na mapembe huyo mtoto? Atakuwa na mkia labda?
Kama atakuwa kivutio kikubwa si wampeleke kwenye zoo huko watu wawe wanalipia hela kwenda kumwona.
Haya wale wenye kutokwa povu kwenye matundu yote mliyonayo nakaribisha matusi yenu😀.
Kama una ubavu ni quote twende toe to toe ila kama huna unaweza ukanitukana bila kuninukuu na kusepa.
What a genius"kwani wanaamini mtoto huyo atakuwa kivutio kikubwa."
Upumbavu to the nth degree!
Eti mtoto atakuwa kivutio kikubwa! Sababu?
Atakuwa na mapembe huyo mtoto? Atakuwa na mkia labda?
Kama atakuwa kivutio kikubwa si wampeleke kwenye zoo huko watu wawe wanalipia hela kwenda kumwona.
Haya wale wenye kutokwa povu kwenye matundu yote mliyonayo nakaribisha matusi yenu😀.
Kama una ubavu ni quote twende toe to toe ila kama huna unaweza ukanitukana bila kuninukuu na kusepa.
Wapi hapo uliponunulia...Lipstick elf 20 bhana
Shukuru Mungu sana badala ya kudhihaki...ungezaliwa Sudan au Somalia usingepata hata fursa ya kushika keyboard.Ivi Mungu ilikua lazima mama angu anizae hapa Tanzania mweeeee..!
My hubby anazitumia subiri alete mrejeshokiss by wema...nasikia lipstic ukipaka zile zinawasha kama pilipili kichaa,,,ati ni kweli kwa aliyenunua bwahahah
alafu nimegundua timu wema wengi wamefulia yaani lipstic ilikua inauzwa 40k hadi 10k??? mhh
Bora Sudan na Somali kuliko kuishi kwenye bahari ya wapumbavu,utumwa wa fikra ni mbaya kuliko hata vita ya SomaliaShukuru Mungu sana badala ya kudhihaki...ungezaliwa Sudan au Somalia usingepata hata fursa ya kushika keyboard.
Nlikuonaga unapaka the kisshhhaaaa Una utani na mie