Kampuni 3 Zamtaka Mtoto wa Wema

Kampuni 3 Zamtaka Mtoto wa Wema

Yaan mwenyewe asiwe na kivutio kwa makampuni ila mtoto awe?kweli hii kali
 
Hahaaaa labda kampuni za kuuza mikorogo hao gpl huwa hawajielewi bila kuandika uha...ro wao gazeti haliuzi
 
"kwani wanaamini mtoto huyo atakuwa kivutio kikubwa."

Upumbavu to the nth degree!

Eti mtoto atakuwa kivutio kikubwa! Sababu?

Atakuwa na mapembe huyo mtoto? Atakuwa na mkia labda?

Kama atakuwa kivutio kikubwa si wampeleke kwenye zoo huko watu wawe wanalipia hela kwenda kumwona.

Haya wale wenye kutokwa povu kwenye matundu yote mliyonayo nakaribisha matusi yenu😀.

Kama una ubavu ni quote twende toe to toe ila kama huna unaweza ukanitukana bila kuninukuu na kusepa.

whats up Meen? you speaking the truth bro. ze akili kubwaz!
 
"kwani wanaamini mtoto huyo atakuwa kivutio kikubwa."

Upumbavu to the nth degree!

Eti mtoto atakuwa kivutio kikubwa! Sababu?

Atakuwa na mapembe huyo mtoto? Atakuwa na mkia labda?

Kama atakuwa kivutio kikubwa si wampeleke kwenye zoo huko watu wawe wanalipia hela kwenda kumwona.

Haya wale wenye kutokwa povu kwenye matundu yote mliyonayo nakaribisha matusi yenu😀.

Kama una ubavu ni quote twende toe to toe ila kama huna unaweza ukanitukana bila kuninukuu na kusepa.
What a genius
 
Duh! Huyu manzi aliwakosea nini wabongo? Mnashambulia hadi kiumbe ambacho hakijazaliwa?? This is too damn low y'all, even for us.
 
Hao mashabiki wake ndo wanaomponza,kwanza Zaidi ya kulike ujinga na matusi, wanashindwa kumsapoti asimame mwenyewe kimaisha wakati ana kila fursa ya kufanya hivyo. Muda utasema!
 
Kwenye dini yetu tunaamini uweko wa ALLAH na yeye ndiye muweza wa kila kitu.Muhimu ni kumuombea Wema salama.
 
kiss by wema...nasikia lipstic ukipaka zile zinawasha kama pilipili kichaa,,,ati ni kweli kwa aliyenunua bwahahah
alafu nimegundua timu wema wengi wamefulia yaani lipstic ilikua inauzwa 40k hadi 10k??? mhh
 
Shukuru Mungu sana badala ya kudhihaki...ungezaliwa Sudan au Somalia usingepata hata fursa ya kushika keyboard.
Bora Sudan na Somali kuliko kuishi kwenye bahari ya wapumbavu,utumwa wa fikra ni mbaya kuliko hata vita ya Somalia
 
Hivi watu kama hawa vichwa vyao vinafikiaga cho chote kweli?
 
Back
Top Bottom