Kampuni 3 Zamtaka Mtoto wa Wema

Kaulize akina Mwajuma ndalandefu wote wanaotukana matusi ya mwaka 56 insta kama wamenunua.
Hata Wema mwenyewe sidhani kabisa kama anapaka yale macheap chemical.
 
Kila uboho anaouonja Wema ni sherehe kwa team Wema.
Ajabu sana.Huyu Idriss sura ndefu aliwahi kuchambwa kisa kaenda Whiteparty kabla hawajajua kama anapiga madame kimya kimya.
 
Post kibaoo kumbe pumba tupu
 
Kila uboho anaouonja Wema ni sherehe kwa team Wema.
Ajabu sana.Huyu Idriss sura ndefu aliwahi kuchambwa kisa kaenda Whiteparty kabla hawajajua kama anapiga madame kimya kimya.
Ha ha ha wala sishangai kuchambwa, Luis munana mwenyewe alikua shem shem sahivi anapokea vichambo eti alienda kwenye birthday mikono mitupu ha ha ha hawa watu ni shida
 
I don't think it's right to call a child who didn't ask to come into this world a name [bastard].

That is just downright wrong. A child is child. No child is a bastard.

But what I also object is to have commercial plans about an unborn child.

Where is the moral compass?

That is so exploitative.

Will that yet to be born baby even have a chance to be a baby or will he/she end up being used as a commercial pawn?

Talk about being ratchet!
 
Biashara hawezi labda afanye biashura mana ndio wateja wengi plus comments za kutosha.....ukiwa n binti yako wa sec then akuambie anampenda wema jua ni hasara hapo.....huyu bwege angekua mbunifu angefika mbali kimaendeleo....chibu n wife wanapasua anga 2 na kuongeza $ tu
 
Umesema haswa, hizo comments pia mimi huwa nashindwa kuwaelewa....teh teh teeeh umeua ya wanaume ngapi.... Hahahaaaaa

Wema melosti anajijua ila mbishi, sasa ni Idrisi kumsaidia amuwahi kabla hajashtuka

Kukata roho huyo atakua amelia kabisa na kununua hajanunua lazima...au aliweka picha?
 
Kaulize akina Mwajuma ndalandefu wote wanaotukana matusi ya mwaka 56 insta kama wamenunua.
Hata Wema mwenyewe sidhani kabisa kama anapaka yale macheap chemical.

Hahahaaaaa ni cheap haswa, kuna katoto sijui ka umri gani kampa ampige nayo picha eti kanunua.

Akina mwajuma ndalandefu umenichekesha...wao wanapenda mguu wa tatu wanunue vocha watukane.
 
Yani wema angepewa akili za lulu sahivi tungekua tunamsikia tu kwa mbaliii
 
Hahahahahaha, kwani vipi ndugu unahisi team wema watatoa mapovu?Ila vitu vingine ni vya kustaajabisha kama hayo yaloandikwa ni ya kweli.Icho kiumbe hata bado hakijakamilika huko tumboni, eti atakua kivutio, wanampangia Mungu.

Hatuombei mabaya, kwa mfano akizaa mlemavu itakuaje?Badala amuombe Mungu mtoto akue vizuri kutwa kuitangaza mimba.Anafikiri kila mtu anamtakia mema.
 
Ndiyo maana nikauita upumbavu.

Huyo mtoto mwenyewe hata bado hajazaliwa lakini watu tayari washampigia mahesabu ya namna gani wanaweza kunufaika kibiashara!

How low can they go?

Eti mtoto atakuwa kivutio!

Kivutio gani?
 
Mimba, Mimba, Mimba, ya nani kwanza? Mume yeye hafatwi? Mikataba yote mama!
 
Yani wema angepewa akili za lulu sahivi tungekua tunamsikia tu kwa mbaliii

akili hiyo aitoe wapi yeye n team yke wko kma nyumbu....akivuka mmoja wote wanafuata hivi mtoto hajazaliwa mnampa promo...mungu ndie hupanga je akizaliwa n shida watasifia nini smtym wanamkejeli muumba
 
Mie hata mimba sijaiona bado nasikia tu ana mimba
 
How can you be so mad with something from GPL? If you are using so much of your time to discuss about Wema'deeds in a negative way , then you are nothing. I can't do that.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…