Phoenix
JF-Expert Member
- Sep 6, 2012
- 10,585
- 15,468
Kaulize akina Mwajuma ndalandefu wote wanaotukana matusi ya mwaka 56 insta kama wamenunua.Huyu nae OK
Lipstick za Mr P Solved kwa jina lake wema kutumika ndani ya wiki moja sijyi baada ya siku mbili zilishuka bei toka 40k hadi 20k na sasa sijui zimefikia bei gani.
Naona GPL bado wanamsaidia kutafuta kiki...
Mr solved majuto yamemjaaaa chezea kutokujua hakuna ntota wafuaai wake wengi mb za kududuliza tu.
Hata Wema mwenyewe sidhani kabisa kama anapaka yale macheap chemical.