duuh! naona Wema ana guarantee kabisa na Mungu hivi hajui kuwa kuna lolote linaloweza kutokea hichi kipindi cha mimba? 😉😉 embu ngoja nisubscribe ili nijionee wale Team vi.ja.mbi.o wakitoa mapuvu
Angeuliza kwanza akaambiwa maternal and infant mortality ni kiasi gani hapa tanzania ndio waje na promo zao as if wana contract na Mungu. Hicho kipindi ni kigumu sana
kiss by wema...nasikia lipstic ukipaka zile zinawasha kama pilipili kichaa,,,ati ni kweli kwa aliyenunua bwahahah
alafu nimegundua timu wema wengi wamefulia yaani lipstic ilikua inauzwa 40k hadi 10k??? mhh