Utotole
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 6,607
- 4,263
Angeuliza kwanza akaambiwa maternal and infant mortality ni kiasi gani hapa tanzania ndio waje na promo zao as if wana contract na Mungu. Hicho kipindi ni kigumu sanaduuh! naona Wema ana guarantee kabisa na Mungu hivi hajui kuwa kuna lolote linaloweza kutokea hichi kipindi cha mimba?
😉😉 embu ngoja nisubscribe ili nijionee wale Team vi.ja.mbi.o wakitoa mapuvu