Wadau wa usafirishaji naomba kujuzwa kama kuna kampuni ama bus ambalo naweza kutumia kusafirishia mizigo yangu kutoka bukoba kuja dar. Mizigo ni music system, mtungi wa gesi mtupu na jokofu(Friji)