Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wadau wa usafirishaji naomba kujuzwa kama kuna kampuni ama bus ambalo naweza kutumia kusafirishia mizigo yangu kutoka bukoba kuja dar. Mizigo ni music system, mtungi wa gesi mtupu na jokofu(Friji)
Dar lux wako vzr sana na wanazingatia usalama wa mizigo ya mteja. Ila bei yao iko juu kidogoWadau wa usafirishaji naomba kujuzwa kama kuna kampuni ama bus ambalo naweza kutumia kusafirishia mizigo yangu kutoka bukoba kuja dar. Mizigo ni music system, mtungi wa gesi mtupu na jokofu(Friji)
Asante sana ...bei zao zinarange nn?Dar lux wako vzr sana na wanazingatia usalama wa mizigo ya mteja. Ila bei yao iko juu kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app