Kampuni au ofisi inayofanya Marketing na Promotion

Kampuni au ofisi inayofanya Marketing na Promotion

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Posts
3,391
Reaction score
3,849
Wana JF naomba kuulizia ni kampuni au ofisi ipi yenye uwezo wa kufanya Marketing na promotion ya bidhaa kama ya mafuta ya kula wawe wamesajiliwa na wana uwezo wa kutoa document za risiti, proforma invoice na delvery note.

Promotion inatakiwa ifanyike Arusha, Dar, Kilimanjaro na Manyara kama unaifahamu please naomba contact zao na bei zao za kufanya marketing kwa siku 3.

Shukrani
 
Back
Top Bottom