Visionmark
Senior Member
- Nov 24, 2011
- 158
- 28
Hello wanaJF, habari! Samahanini nina swali na swali lenyewe ni kama ifuatavyo; Inapotokea kwamba kampuni inamudharirisha mfanyakazi wake mbele za watu na mbele ya wafanyakazi wenzake kwa madai ambayo baadaye yanakuja kuonekana kwamba hayakuwa madai yakweli, je mfanyakazi huyo anaweza chukua hatua zipi za kisheria dhidi ya kampuni hiyo???