Kampuni binafsi inapomudharirisha mfanyakazi wake!

Kampuni binafsi inapomudharirisha mfanyakazi wake!

Visionmark

Senior Member
Joined
Nov 24, 2011
Posts
158
Reaction score
28
Hello wanaJF, habari! Samahanini nina swali na swali lenyewe ni kama ifuatavyo; Inapotokea kwamba kampuni inamudharirisha mfanyakazi wake mbele za watu na mbele ya wafanyakazi wenzake kwa madai ambayo baadaye yanakuja kuonekana kwamba hayakuwa madai yakweli, je mfanyakazi huyo anaweza chukua hatua zipi za kisheria dhidi ya kampuni hiyo???
 
Inabidi waongee na mfanyakazi ili wamlipe fidia ya usumbufu alioupata, la mfanyakazi akiamua kuacha kazi kwa sababu hiyo anaweza ishitaki kampuni kwa ile sheria ya constractive dismisal. Maana mfanyakazi akidhalilishwa ina maana ina mfanya asiweze kuendelea na kazi.
Wataalam wa sheria za ajira wataongezea.
 
Back
Top Bottom