Kampuni binafsi za kufanya protocols kwenye event kubwa za serikali; Je, ni utashi wa nani? Vetting yake inaangaliwa kwa jicho la tatu?

Brojust

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2016
Posts
349
Reaction score
1,024
Karibuni wadau!

Naomba kuuliza kwa nia njema sana maana mimi pia nina uzoefu usajili wa makampuni, jina la biashara na taasisi mbali mbali.

Nina kiu ya kujua machache tu juu ya makampuni binafsi ya kufanya protocol kwenye event za serikali na taasisi zake.

Maswali yangu machache;

1. Je, vetting yake ipoje haswa kwenye usalama wa taarifa muhimu za taasisi na viongozi.

2. Je, zinapitia na kupata mafunzo rasmi wapi na wanakuwa na vyeti?

3. Je, zinapitia kwenye mfumo rasmi wa tender kwenye taasisi za serikali.

4. Je, integrity yake haswa kwenye corruption na baadhi ya viongozi wa taasisi inapimwa vizuri?

NB; Wadau ambao mpo kwenye hizo taasisi, na wamiliki wa hizo kampuni na viongozi msininukuu vibaya nia yangu ni kujenga taasisi imara sana ili kuisaidia serikali na kupata kipato stahiki.

Nawasilisha.
 
Unatakiwa uwe ndani ya mfumo wa UT au na connection ya uhakika huko. Kupata maelezo ya ziada mtafute yule mzee MC Mavunde.
 
kuna hawa jamaa, wanaitwa peramiho events, naona wanapiga piga events kubwa kubwa za serikali na baadhi ya shughuli za wanasiasa wakubwa

🔰Events organizations & plan
🔰High Quality Sound System
🔰Professional DJ’s
🔰Stages, Lighting, Tents & Toilets.
📞 +255 655 920 515

do research on them au wafuatilie unaweza kujua pa kuanzia au ukapata mawili watatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…