Kampuni bora katika soko la hisa la Dar es Salaam, 2022

Ahsante sasa kwa wanaoweka huko hela sisi watu wa hali ya chini, milioni moja inatosha kumpa faida gani kwa mwaka.....
Kwa elimu ndogo niliyopewa naona kama ndio hesabu za kuweka mil 200 kupata faida mil 4.
Ndani ya mfuko huu kuna mifuko 6
1. Umoja Fund
2. Wekeza maisha
3. Watoto fund
4. Jikimu Fund
5. Liquid fund
6. Bond fund

Ukipata mda ujifunze juu ya Masoko ya mitaji....

1. UMOJA FUND - Ni mfuko wa kwanza kuanzishwa na UTT-AMIS mnamo mwaka 2005. Mtu binafsi, taasisi (za kidini pia) vikundi vinaruhusiwa kuwekeza pia.
50% ya fedha za mfuko huu zinawekezwa kwenye hisa na 50% kwenye hatifungani za serikali/makampuni
Kima cha chini cha kuwekeza ni kwanzia vipande 10

2. WEKEZA MAISHA - Ndiyo mfuko wa pili kuanzishwa na UTT-AMIS mnamo mwaka 2007, lengo la mfuko huu ni kukuza mtaji na pia kutoa bima ya maisha/afya kwa wawezaji, fidia za ulemavu/gharama za mazishi.
Uwekezaji wa vikundi hauruhusiwi, pia huwezi kutumia vipande vya mfuko huu kama amana katika kupata mkopo taasisi za kifedha kama vile benki.
Hakuna ukomo wa kuwekeza lakini ukomo wa Bima ni TZS 25,000,000 tu kwa mwekezaji anayepata shida ya kiafya na akapatiwa matibabu kwa Bima ya mfuko

3. WATOTO FUND, Ni mfuko maalum kwaajili ya watoto chini ya umri wa miaka 18, ambao ni kwaajili ya kuandaa kesho yao iliyo bora.
Uwekezaji unaweza fanywa kwa jina la mtoto mwenyewe, na kima cha chini cha kuanza ni TZS 10k tu, na anaweza kuwa anaendelea kuongeza uwekezaji kwa kiwango cha kuanzia TZS 5k tu na nakuendelea

4. JIKIMU FUND, Ni mfuko kwaajili ya wawekezaji wanaotaka kupata kipato kila mara (gawio) huku wakiendelea kukuza mtaji wao.
35% ya fedha za mfuko huu huwekezwa kwenye hisa, 65% kwenye hatifungani za serikali/kampuni na FDR
Kupata gawio la kila baada ya miezi 3 unapaswa kuwekeza TZS 2m na gawio la kila mwaka ni TZS 1m

5. LIQUID FUND, Ni mfuko kwaajili ya wanaotaka kuwekeza kipato chao cha ziada kwa lengo la kukuza ukwasi. Mfuko unajualikana kama mfuko wa ukwasi
Kima cha chini cha kuwekeza ni kwanzia TZS 100k kwa mara ya kwanza na baada ya hapo waweza kuwa unaongeza TZS 10k tu na kuendelea.
100% ya fedha za mfuko huu zinawekezwa kwenye soko la fedha na hatifungani za serikali na kampuni.

6. BOND FUND, Ulianzishwa mwaka 2019 na 90% ya fedha za mfuko huu zinawekezwa kwenye hatifungani.
Kima cha kuanza kuwekeza kwenye mfuko huu ni TZS 50k kwa lengo la kukuza mtaji pekee.
Pia kupata gawio la baada ya miezi 3 ni kuwekeza TZS 10m kwa mkupuo, na baada ya miezi 6 ni TZS 5m kwa mkupo. Kila kipande hupata gawio la TZS 1/Mwezi
Kwa ujumla UTT-AMIS ni sehemu salama kuwekeza kwasababu kila mfuko una meneja wake ambaye ana wajibu wa kulinda pesa za wawekezaji wa mfuko.
Pia, UTT-AMIS wanatoa riba ya wastani wa 12% mpaka 14.5% kwa kile ulichowekeza mwekezaji.
 
Ahsante sana kwa elimu mkuu 🤝
 
Ahsante Kwa Taarifa.Ingawa Mwaka 1 hautoshi mwekezaji kupata picha halisi ya trend ya Kampuni.
 
fuatilia nyuzi zangu,,,,nilishatoa taarifa za mwaka 2022,,,,na nime-upload data za makampuni tangia 2019 ambazo nimezipanga kwenye excel
 
Hizi ndiyo kampuni 5 bora (zilizo orodheshwa katika Soko la hisa DSE) zilizo fanya vizuri kwa mwaka 2022...

5.TCC - Tanzania cigarette company
Iliweza kujipatia faida ya tsh.billion 69,ambazo imeisaidia kuwa Earning per share ya pili kwa ukubwa.
Lakini pia imeongoza kwa uwekezaji wa faida yake katika maendeleo ya Kampuni

4.CRDB BANK
Benki ya pili kwa kutengeneza faida kwa mwaka 2022 (Billion 350).
Lakini ndiyo kampuni iliyotoa asilimia kubwa ya gawio kwa kila hisa,12%...

3.TBL -Tanzania Breweries limited
Ilitengeneza faida ya zaidi ya billion 150...
Huku ikiwa na dhamana ya kutosha ya kulipa madeni ya mda mfupi na madeni ya mda mrefu...yaaani,TBL kufirisika ni ndogo.
Na pia inatoa gawio kila mwaka...

2.DSE = DAR ES SALAAM STOCK EXCHANGE
Usishangae, soko la hisa linajiendesha kama kampuni. Lina hazina ya kutosha ya hela 87% kuzidi madeni yake. Lilitoa gawio 6.8% zaidi ya uwekezaji kwa kila hisa.

1 .TWIGA
Hili ndiyo kampuni bora kwa mwaka 2022 kwani.
  • la-la pili kwa kiwango cha gawio 11%
  • Thamani ya kampuni katika soko inaendana vizuri na thamani ya Mali zake.
  • Inawekeza vizuri faida yake katika maendeleo ya ukuaji wa Kampuni....ndiyo maana imeinunua kampuni yenzake ya Seruji SIMBA CEMENT.
Uchambuzi Wangu umezingatia vipimo vya financial ratios za P.E,EPS,ROE,DIVIDENT RATE na PBR...

Orodha hiyo inaweza ikatumika kumsaidia mtu kujua kampuni zipi za kuzipa jicho wakati wa kutaka kuwekeza.

Karibuni kwa maoni...
hapo umechambua au umekopi taarifa ya soko? nenda uzame kwenye financial statements za kila kampuni uje na uchambuzi wako ikiwa pamoja na the most worst companies kwenye soko.
 
Well,,
1.Nimepitia financial statements za makampuni yote tangia 2020 ...

2.Nime zichambua na kuandaa maandiko...

3.Taarifa ya soko lipi ambalo mie nimekopi (weka ushahidi wa chochote nilichokopi)

4.Nimesha share file la Excel lenye mkusanyo wa uchambuzi...tangia 2020...
Fuatilia nyuzi zangu zingine...

5.Mimi nikiandaa taarifa za kujenga best companies,mwingine anaweza la worst...Lengo ni kuhimizana kufuatilia....
 
Ki
Utt ipo upande upi? Naona uhamasishaji wa watu ni mwingi
Tu nilichoona utt, Liquid fund ambayo inasifiwa sana. Gawio ni dogo, ni 0.03% ya mtaji wako kwa siku.
Yani, ukiweka 5Million unapata gawio la 1,500 kila siku. So, kwa mwezi ni 45,000 tu. Ni ndogo sana kama utachukua 5milion yako na kufanyia biashara
 
Hizi ndiyo kampuni 5 bora (zilizo orodheshwa katika Soko la hisa DSE) zilizo fanya vizuri kwa mwaka 2022...

5.TCC - Tanzania cigarette company
Iliweza kujipatia faida ya tsh.billion 69,ambazo imeisaidia kuwa Earning per share ya pili kwa ukubwa.
Lakini pia imeongoza kwa uwekezaji wa faida yake katika maendeleo ya Kampuni

4.CRDB BANK
Benki ya pili kwa kutengeneza faida kwa mwaka 2022 (Billion 350).
Lakini ndiyo kampuni iliyotoa asilimia kubwa ya gawio kwa kila hisa,12%...

3.TBL -Tanzania Breweries limited
Ilitengeneza faida ya zaidi ya billion 150...
Huku ikiwa na dhamana ya kutosha ya kulipa madeni ya mda mfupi na madeni ya mda mrefu...yaaani,TBL kufirisika ni ndogo.
Na pia inatoa gawio kila mwaka...

2.DSE = DAR ES SALAAM STOCK EXCHANGE
Usishangae, soko la hisa linajiendesha kama kampuni. Lina hazina ya kutosha ya hela 87% kuzidi madeni yake. Lilitoa gawio 6.8% zaidi ya uwekezaji kwa kila hisa.

1 .TWIGA
Hili ndiyo kampuni bora kwa mwaka 2022 kwani.
  • la-la pili kwa kiwango cha gawio 11%
  • Thamani ya kampuni katika soko inaendana vizuri na thamani ya Mali zake.
  • Inawekeza vizuri faida yake katika maendeleo ya ukuaji wa Kampuni....ndiyo maana imeinunua kampuni yenzake ya Seruji SIMBA CEMENT.
Uchambuzi Wangu umezingatia vipimo vya financial ratios za P.E,EPS,ROE,DIVIDENT RATE na PBR...

Orodha hiyo inaweza ikatumika kumsaidia mtu kujua kampuni zipi za kuzipa jicho wakati wa kutaka kuwekeza.

Karibuni kwa maoni...
unaposema TWIGA una maanisha twiga cement or twiga bancok?
 
Ki

Tu nilichoona utt, Liquid fund ambayo inasifiwa sana. Gawio ni dogo, ni 0.03% ya mtaji wako kwa siku.
Yani, ukiweka 5Million unapata gawio la 1,500 kila siku. So, kwa mwezi ni 45,000 tu. Ni ndogo sana kama utachukua 5milion yako na kufanyia biashara
It's Low risk investment
It has low chance of failure
It can be used to counter inflation
No tax
No hassle with customers
Enough time with dealing with other issues
 
Ki

Tu nilichoona utt, Liquid fund ambayo inasifiwa sana. Gawio ni dogo, ni 0.03% ya mtaji wako kwa siku.
Yani, ukiweka 5Million unapata gawio la 1,500 kila siku. So, kwa mwezi ni 45,000 tu. Ni ndogo sana kama utachukua 5milion yako na kufanyia biashara
Business is a business na investment is investment . Usichanganye hivi vitu viwili kusema eti kuliko ufanye hichi bora ufanye kile . Chukua time yako kujifunza
 
ninachojua na kujifunza hii sio kitu cha kukufanya utajirike kwa haraka bali inahitaji muda mrefu kutajirika na usalama wa fedha ama mtaji wako mkubwa sana
 
Back
Top Bottom